SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,904
Kikulacho ki nguoni mwako, asingemuua huyo mjombake, basi mjombake angemuua yeye kwa kushirrikiana na Marekani.Hichi kitoto kimeanza kuua wazazi na walezi, Aluuuu
Thou shall not kill!!!!!!!!!!!!!Kikulacho ki nguoni mwako, asingemuua huyo mjombake, basi mjombake angemuua yeye kwa kushirrikiana na Marekani.
Dawa ya wasaliti ni kifo tu, haswa yanapokuja maslah ya taifa.
Ukikamata muuza unga nyonga, haramia kama yule mbeba matofali ua tu, walioibiaa BOT, ua tu, wahujumu ucvhumi wa kila namna, ua tu....
China isingekuwa inanyonga leo isingefika hapo ilipo.
Ili nchi iendelee inahitaji watu wenye discipline ya hali ya juu na wachapakazi.
Tz ni bora nchi tuwe maskini miaka yote kuliko kuua mtu mmoja anayefanya upuuzi mahala fulani na kucheza blander za rushwa.
hujasomeka mkuu
unataka tuwe maskini miaka yote kuliko kuua mmoja anayefanya upuuzi na kucheza blunder na tushwa?
Tz tunaogopa kuua wacheza blander wanaojifaidisha wao peke yao, tunaona ni kheri tuwe maskini nchi nzima miaka yote kuliko kumnyonga Mpuuzi mmoja anaesababisha