Kim Jong Un atangaza kusitisha majaribio ya Nyuklia

Yatupasa kufikiri kwa kina sana ktk uhalisia zaid kuliko mazoea. Kwa sis waafrica ambao kwetu kila kitu tunaona kama miujuza, hakuna tunacho kiweza au kujianin ktk kuthubutu, jambo ambalo linafunga hakili zetu hata kwa mataifa mengine madogo (mazuri wakuona matokeo tuu na sio chanzo cha matokeo hayo), kitu kinacho tupelekea ungum wa kuwa na fikra zakujitegemea.

Kutokana na kilema chetu cha kuto kujiamin na kuwa wategemezi kwa kila kitu kasoro mambo ya ndoa tuu basi tunaona hata mataifa mengine hayawezi lolote kasoro malekan.

Mambo muhim ktk maendeleo ya mtu au nchi ni matatu mhumi sana

(1) resources
Taifa linapo kuwa na asilimali zakutosha zinampa nguvu ya kuzalisha kwa faida ( bidhaa ndio pesa) tunatumia bidhaa ila pesa inatusaidia kupata bidhaa usizo kuwa nazo.

(2) technology
Hii inasaidia kuongeza ufanisi ktk kubadilisha asilimali na kuwa bidhaa inayo weza kutumika kwa matumizi ya kawaida au viwandan.

3) mtaji ( labor and financial capital) ili moja na mbili viweze kuwa na tija ktk uzalishaji unaitaji mtaji wa kuwezesha hilo.

Sasa tuangalie nchi kuu 4 ambazo China, Russia, Iran na North Korea kama wataamua kushirikiana kiuchumi na kijeshi kipi watakikosa kat ya hivyo vitu vitatu muhim?

Asilimali muhim zaid ni mafuta ambapo iran na Russia wapo kwenye nchi kumi bora dunia wazalishaji wakubwa wa mafuta na mambo mengine.

Tuwaze jambo lingine kama wataongeza uzalishaji wa bidhaa mbalimbali nchi za kiafrika zinatununua bidhaa kutoka US na Marafik zake au China na marafik zake

Jibu lake kwakutumia tabia ya soko ya kitu chenye bei rahis ndio kinauzika zaid basi ni dalili kubwa kuwa Nchi nying za Africa zitakimbilia soko hilo.

Pia tujiulize je ni technologia gani marekan anayo na hizo nchi 4 hawana kabisa, na je hiyo technologia inaumuhim gan kusema itawaathir ktk ufanisi wao jibu ni hakuna ( maana yake kila jambo kwao litafanikiwa)

Sasa tuangalie North Korea ktk picha hiyo maana ndio washirika wake wakuu na msaada mkubwa kakwe, Marekan atakuwa na nguvu gan ya kumpangia ayatakayo yeye na sio balaza la usalama kwa ujumla?
Hoja aliyo tumia mwanzo na kupitisha vikwazo akipata support ya China na Russia ilikuwa Nuclear missile test ambapo sasa katangaza kuacha kabisa, je US atapata support kama mwanzo kutoka pande zote?

Jambo lingine lakujiuliza, je North Korea anategemea kitu gan kutoka US moja kwa moja?

Kwa mtazo wangu NK sio kitu kidogo kwa US kama tunavyo fikiria wengi na hali halisi ya siasa ya dunia kwa sasa.
 
Umeonaee Mwambie ndugu yako Ze kokuyo, atuliye Ana kuwa
kama jiwe bwana!


Hahah!, lakini Fundi kwa vituko, kwani Kokuyo si ndio ameileta habari hivyo hivyo kuhusu kusitisha na hata baadhi ya comments zake kwenye hii topic?!
Lakini kaeni mkijua hii ndo imetoka.:)

Kuna mapya yanayoendela duniani sasa, hili la Kim is one of them. Tusubirie mwisho wake but, naona kama vitu vinabadilika..
 
Hahah!, lakini Fundi kwa vituko, kwani Kokuyo si ndio ameileta habari hivyo hivyo kuhusu kusitisha na hata baadhi ya comments zake kwenye hii topic?!
Lakini kaeni mkijua hii ndo imetoka.:)

Kuna mapya yanayoendela duniani sasa, hili la Kim is one of them. Tusubirie mwisho wake but, naona kama vitu vinabadilika..
Haj
Na watu walivyo waoga wakamjibu hakuna kiongozi
Hahahahhahahahaha
 
Hahah!, lakini Fundi kwa vituko, kwani Kokuyo si ndio ameileta habari hivyo hivyo kuhusu kusitisha na hata baadhi ya comments zake kwenye hii topic?!
Lakini kaeni mkijua hii ndo imetoka.:)

Kuna mapya yanayoendela duniani sasa, hili la Kim is one of them. Tusubirie mwisho wake but, naona kama vitu vinabadilika..
Ze amekuwa.kama jiwe mkuu kwa Babu yake sawa na bashite na yule.bwana!
 
Kwa upande wangu naweza sema "kim alichokifanya ni sawa kabisa yani yupo sahihi kusitisha" why? Hamkujuwa lengo lake ni nini!!! :D:D:D....Aimarishe uchumi wake ukae sawa ndipo aanze kiyatengeneza hayo makitu...anaakili sana huyu mbabe.
 
Russia na China wameamua nao kuweka waz kabisa kwamba watashirikiana kulinda aman ya dunia, hii na kauli ngum sana kwa NATO mabingwa wa kuvamiavamia.
Pia tukumbuke North Korea inapakana na Russia na China
Inamaana Chochote kitakacho tokea hapo mgogoro na madhara yake ni Zaidi ya Syria
China and Russia vow to safeguard world peace
China and Russia vow to safeguard world peace
 
Ile team ya Trump ni ya hatari Mkuu; kuanzia VP, Secretary of Defense, Ambassador to the UN, CIA Chief, etc. ni majitu fulani yako vizuri upstairs na experience ya kutisha. Ni majitu fulani yaliyoandaliwa na mfumo (wao) kuja kuongoza taifa kubwa kwa kuzingatia changamoto za dunia na namna ya kukabiliana nazo kwa kuzingatia maslahi ya Marekani na sio ya chama chao au makundi yao. Hamna shoga mule na wala hawafungishi ndoa za mashoga WH kama mtangulizi wake. Marekani ilihitaji sana timu ya aina hii kwa muda mrefu.
Kimsingi kila mzungu ni shoga kwa namna moja au nyingine ni tamaduni zao labda ni mashoga wababe.
 
Kusitisha wakati wameshajaribu ndo tuwasifie USA kwamba wamewin bingo hapo sion kama wajanja coz kama wababe ilitakiwa wazuie wasijaribishe kabsa ndo tungesema wamefanikiwa
 
Back
Top Bottom