Kim Jong Un ameshinda vita tayari ,ametimiza ndoto ya babu yake ..saizi amekubali meza ya mazungumzo

North Korea hivi karibuni walikuwa wanafanya majaribio ya ICBM "Intercontinental Ballistic Missile" na baada ya majaribio ya muda mrefu hatimaye North walifanikiwa kujaribu major test na wakafanikiwa 100%

November 30 2017 North Korea walifanya jaribio la ICBM aina ya Hwasong -15 missile yenye kichwa kikubwa chenye uwezo wa kubeba vichwa vya nucleur majira ya tisa alfajiri ambalo lilipaa urefu mkubwa iliyoweka rekodi kati ya makombora yote yaliyowahi kurushwa na North...Baada ya jaribio hilo Kim akasema hatimaye tunafuraha kutimiza ndoto yetu ya kuwa Complete Nucleur state,....kombora hilo la Hwasong-15 kufanikiwa kwa 100% ilikuwa mission complete kwa North sababu kombora hilo linaweza kupiga kokote duniani ,kutoka bara moja kwenda bara lingine

James Mattis secretary wa ulinzi wa USA baadae akahitimisha kwa kusema kombora lililorushwa asubuhi ya Leo lina uwezo wa kupiga sehemu yeyote duniani "every where in the world".

Hwasong-15 ilipaa 4,475KM sawa na mile 2,800 na ilikaa angani kwa dakika 53 kabla ya kuanguka kwenye pwani ya Japan ..takwimu hii ilitolewa na maofisa wa South Korea na Japan.

David Wright ,Mwanasayansi kutoka muunganiko wa wanasayansi wanaotambulika USA akatoa neno na tathmini ya mahesabu ya kombora lile na kusema kombora lile lina uwezo wa kuipiga Washington na eneo lolote la USA lkn akatoa tahadhari kama kombora lile likawekwa kichwa kizito cha nuclear huenda umbali usiwe sawa.

Adam mount senior scientist at the federation of American scientists akasema

"Muda uliopaa inaonyesha hii ni jaribio kubwa la ICBM na kwa hili itawarudisha nyuma maofisa wa US watumia njia mbadala na sio military option au vitisho vingine.

3 September 2017 mwezi mmoja nyuma North walijaribisha Hydrogen Bomb na maofisa wa South Korea walisema Karin in hilo lilisababisha mtetemeko wa ardhi wenye nguvu mara 9.8 kuliko jaribio walilofanya 2016 hivyo North walikuwa well developed kwenye hydrogen Bomb na kila mtu anajua how powerful Hydrogen ilivyo 10× kuliko Atomic Bomb

Baada ya kujaribisha Hydrogen Bomb kwa mafanikio ,mission ilikuwa moja kukamilisha ICBM na mwezi mmoja baadae wakajaribisha Hwasong-15 yenye uwezo wa kwenda bara moja kwenda bara lingine na kupiga ma Hwasong-15 ina uwezo wa kubeba kichwa cha nuclear na kupaa kutoka Pyongyang na kwenda Dodoma na kupiga kwa ufasaha...maofisa wa Japan,South Korea ,wana sayansi marekani walithibitisha

Kim Jong Un alisema ana furaha ndoto yao imekamilika ya kuwa compete nuclear state baada ya Hwasong-15 kufanikiwa " ICBM"

Trump kwa muda mrefu ameomba meza ya mazungumzo na Kim na hatimaye Kim amekubali na moja ya ombi la Trump ni North wasifanye majaribio ya makombora na inaonyesha North watakubali.

Kwasisi wataalamu wa mambo tunasema

Kim=10
Trump=1

Tayari Hwasong-15 ipo well equiped na 100% accuracy na kila mtu anajua uwezo wa Hwasong-15. ndio maana Kim amekubali meza ya mazungumzo baada ya furaha aliyotamka "now we are complete nucleur state" Baada ya Hwasong-15 kufanikiwa 100%

Sasa USA legeza vikwazo kwa Kim majaribio ya nini wakati kwenye ghala ana ICBM na nucleur
NI kidume. Alisema ataendelea mpaka atakapojiridhisha. Sasa amesema amejiridhisha tayari. Team trump akili zao viazi. eti wanashangilia kuwa katii amri.
 
Kuna mada zingine humu zinalenga zaidi kuibua/kuchochea malumbano ya kijinga yasiyo na mantiki yoyote na inaonekana zinaletwa na vijana under 25 ambao kwao malumbano/ vijembe ni "Trademark Characteristic".

Wanashindwa kuelewa kuwa hakuna siku hata moja huyo Kim atarusha kombora lolote na liangukie hata walau west coast ya US. Wasahau.

Huyu Kim wenzake wanamchora tu sasa hivi na yeye hajui anajifanya mtemi, haelewi yeye ndio mtawala wa mwisho kutoka ktk hiyo "Dynasty" yao....!!
 
Hakuna sehemu Kim alisema atafanya imperialist invasion ndio maana amekuwa akikosoa mashambulizi ya US nchini Syria. Kim tokea muda alisema anafanya majaribio kujilinda tu so haitotokea siku akashambulia mpaka akiguswa...

Kama kujilinda ni kujifanya utemi basi neno mtemi umekosea kulitafsiri
 
Jeshi letu tayari Wana kombora linautwa nyuki lia. Yani likipigwahilo wanatoka nyuki wengi na manyigu, Wana ng'atang'ata nyeti za wanajeshi wa adui alafu......
 
Kuna mada zingine humu zinalenga zaidi kuibua/kuchochea malumbano ya kijinga yasiyo na mantiki yoyote na inaonekana zinaletwa na vijana under 25 ambao kwao malumbano/ vijembe ni "Trademark Characteristic".

Wanashindwa kuelewa kuwa hakuna siku hata moja huyo Kim atarusha kombora lolote na liangukie hata walau west coast ya US. Wasahau.

Huyu Kim wenzake wanamchora tu sasa hivi na yeye hajui anajifanya mtemi, haelewi yeye ndio mtawala wa mwisho kutoka ktk hiyo "Dynasty" yao....!!
Kwahiyo wewe above 25 ndo hoja yako hii kweli?. Tuna safar ndefu kama nyie ndo wazee tunarajia mtufunze mengi vijana kumbe nanyi hamjui kitu
 
....."anajifanya mtemi, haelewi yeye ndio mtawala wa mwisho kutoka ktk hiyo "Dynasty" yao....!!

aisee inasikitisha sana mtanzania wa kyela anajua alafu wakorea wenyewe hawajui hilo .

mkuu hivi kim Jong un hana mtoto ?
Kim ana umri gani sasa hivi ?
 
Back
Top Bottom