Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,921
- 15,613
Kim Jong-Un amemwambia Biden kuwa North Korea ipo tayari kuingia mzigoni (vitani) na Marekani na kibaraka wake South Korea. Amesema kuwa makombora yake ya nyuklia yapo tayari kuiangamiza Marekani. Akijibu kitisho cha South Korea kuwa South Korea itafanya 'pre-emptive strike', Kim kaiambia South Korea kuwa ikijaribu kufanya upumbavu huo, itageuzwa majivu ndani ya sekunde kadhaa.
Mwambieni Marekani aache mikwara, aende vitani kama anajiamini. Tumemsubiri huko Ukraine, kachomoa...tunamsubiria sasa huko North Korea. Aache kupoteza resources na pesa kupiga piga push-up's huko South Korea na kujitia kurusha rusha midoli yake (F-22, F-35) nje ya ulingo wa vita (nchi za shoga zake ambazo hazina vita). Akarushe midoli hiyo huko Ukraine au North Korea, mbona alipeleka F-35 kwenye vita ya Iraq kupigana na taifa dhaifu kiteknolojia? Apeleke Ukraine kwa Mrusi, au North Korea kwa Kiduku aone aibu atakayoipata.
=====