Kim Jong Un ameshinda vita tayari ,ametimiza ndoto ya babu yake ..saizi amekubali meza ya mazungumzo

junky

JF-Expert Member
May 11, 2017
413
976
North Korea hivi karibuni walikuwa wanafanya majaribio ya ICBM "Intercontinental Ballistic Missile" na baada ya majaribio ya muda mrefu hatimaye North walifanikiwa kujaribu major test na wakafanikiwa 100%

November 30 2017 North Korea walifanya jaribio la ICBM aina ya Hwasong -15 missile yenye kichwa kikubwa chenye uwezo wa kubeba vichwa vya nucleur majira ya tisa alfajiri ambalo lilipaa urefu mkubwa iliyoweka rekodi kati ya makombora yote yaliyowahi kurushwa na North...Baada ya jaribio hilo Kim akasema hatimaye tunafuraha kutimiza ndoto yetu ya kuwa Complete Nucleur state,....kombora hilo la Hwasong-15 kufanikiwa kwa 100% ilikuwa mission complete kwa North sababu kombora hilo linaweza kupiga kokote duniani ,kutoka bara moja kwenda bara lingine

James Mattis secretary wa ulinzi wa USA baadae akahitimisha kwa kusema kombora lililorushwa asubuhi ya Leo lina uwezo wa kupiga sehemu yeyote duniani "every where in the world".

Hwasong-15 ilipaa 4,475KM sawa na mile 2,800 na ilikaa angani kwa dakika 53 kabla ya kuanguka kwenye pwani ya Japan ..takwimu hii ilitolewa na maofisa wa South Korea na Japan.

David Wright ,Mwanasayansi kutoka muunganiko wa wanasayansi wanaotambulika USA akatoa neno na tathmini ya mahesabu ya kombora lile na kusema kombora lile lina uwezo wa kuipiga Washington na eneo lolote la USA lkn akatoa tahadhari kama kombora lile likawekwa kichwa kizito cha nuclear huenda umbali usiwe sawa.

Adam mount senior scientist at the federation of American scientists akasema

"Muda uliopaa inaonyesha hii ni jaribio kubwa la ICBM na kwa hili itawarudisha nyuma maofisa wa US watumia njia mbadala na sio military option au vitisho vingine.

3 September 2017 mwezi mmoja nyuma North walijaribisha Hydrogen Bomb na maofisa wa South Korea walisema Karin in hilo lilisababisha mtetemeko wa ardhi wenye nguvu mara 9.8 kuliko jaribio walilofanya 2016 hivyo North walikuwa well developed kwenye hydrogen Bomb na kila mtu anajua how powerful Hydrogen ilivyo 10× kuliko Atomic Bomb

Baada ya kujaribisha Hydrogen Bomb kwa mafanikio ,mission ilikuwa moja kukamilisha ICBM na mwezi mmoja baadae wakajaribisha Hwasong-15 yenye uwezo wa kwenda bara moja kwenda bara lingine na kupiga ma Hwasong-15 ina uwezo wa kubeba kichwa cha nuclear na kupaa kutoka Pyongyang na kwenda Dodoma na kupiga kwa ufasaha...maofisa wa Japan,South Korea ,wana sayansi marekani walithibitisha

Kim Jong Un alisema ana furaha ndoto yao imekamilika ya kuwa compete nuclear state baada ya Hwasong-15 kufanikiwa " ICBM"

Trump kwa muda mrefu ameomba meza ya mazungumzo na Kim na hatimaye Kim amekubali na moja ya ombi la Trump ni North wasifanye majaribio ya makombora na inaonyesha North watakubali.

Kwasisi wataalamu wa mambo tunasema

Kim=10
Trump=1

Tayari Hwasong-15 ipo well equiped na 100% accuracy na kila mtu anajua uwezo wa Hwasong-15. ndio maana Kim amekubali meza ya mazungumzo baada ya furaha aliyotamka "now we are complete nucleur state" Baada ya Hwasong-15 kufanikiwa 100%

Sasa USA legeza vikwazo kwa Kim majaribio ya nini wakati kwenye ghala ana ICBM na nucleur
 
Kama mjanja si angekataa mazungumzo aendelee kutest tu?

Hujaiona tweet ya trump leo asubuhi Kama vikwazo lazima viendelee?
 
Nimeiona

Sasa kama umeshakamiliisha adhma yako na huna hofu tena ya kuvamiwa baadae unakubali meza ya mazungumzo.

Sasa kwenye meza ya mazungumzo pande zote 2 watatoa option zao ,option ya kusitisha kutest tayari imeshakamilika ,option zingine ndio zitaamua vikwazo vipungwe au kuondolewa na mazumgumzo yakifeli basi ..ila mpaka wamefika kwenye meza ya mazungumzo USA na south watatumia busara muafaka upatikane ..
 
Trump kanywea
Lakini hapo sio ubabe zaidi bali kuna maslahi mapana zaidi kibiashara na majirani wengine
Kiduku anaungwa mkono na wababe wengine ambao wanafanya biashara na USA
Kwa hiyo vita sio option kabisa ila Trump alikuwa anajitoa ufahamu tu
 
North Korea hivi karibuni walikuwa wanafanya majaribio ya ICBM "Intercontinental Ballistic Missile" na baada ya majaribio ya muda mrefu hatimaye North walifanikiwa kujaribu major test na wakafanikiwa 100%

November 30 2017 North Korea walifanya jaribio la ICBM aina ya Hwasong -15 missile yenye kichwa kikubwa chenye uwezo wa kubeba vichwa vya nucleur majira ya tisa alfajiri ambalo lilipaa urefu mkubwa iliyoweka rekodi kati ya makombora yote yaliyowahi kurushwa na North...Baada ya jaribio hilo Kim akasema hatimaye tunafuraha kutimiza ndoto yetu ya kuwa Complete Nucleur state,....kombora hilo la Hwasong-15 kufanikiwa kwa 100% ilikuwa mission complete kwa North sababu kombora hilo linaweza kupiga kokote duniani ,kutoka bara moja kwenda bara lingine

James Mattis secretary wa ulinzi wa USA baadae akahitimisha kwa kusema kombora lililorushwa asubuhi ya Leo lina uwezo wa kupiga sehemu yeyote duniani "every where in the world".

Hwasong-15 ilipaa 4,475KM sawa na mile 2,800 na ilikaa angani kwa dakika 53 kabla ya kuanguka kwenye pwani ya Japan ..takwimu hii ilitolewa na maofisa wa South Korea na Japan.

David Wright ,Mwanasayansi kutoka muunganiko wa wanasayansi wanaotambulika USA akatoa neno na tathmini ya mahesabu ya kombora lile na kusema kombora lile lina uwezo wa kuipiga Washington na eneo lolote la USA lkn akatoa tahadhari kama kombora lile likawekwa kichwa kizito cha nuclear huenda umbali usiwe sawa.

Adam mount senior scientist at the federation of American scientists akasema

"Muda uliopaa inaonyesha hii ni jaribio kubwa la ICBM na kwa hili itawarudisha nyuma maofisa wa US watumia njia mbadala na sio military option au vitisho vingine.

3 September 2017 mwezi mmoja nyuma North walijaribisha Hydrogen Bomb na maofisa wa South Korea walisema Karin in hilo lilisababisha mtetemeko wa ardhi wenye nguvu mara 9.8 kuliko jaribio walilofanya 2016 hivyo North walikuwa well developed kwenye hydrogen Bomb na kila mtu anajua how powerful Hydrogen ilivyo 10× kuliko Atomic Bomb

Baada ya kujaribisha Hydrogen Bomb kwa mafanikio ,mission ilikuwa moja kukamilisha ICBM na mwezi mmoja baadae wakajaribisha Hwasong-15 yenye uwezo wa kwenda bara moja kwenda bara lingine na kupiga ma Hwasong-15 ina uwezo wa kubeba kichwa cha nuclear na kupaa kutoka Pyongyang na kwenda Dodoma na kupiga kwa ufasaha...maofisa wa Japan,South Korea ,wana sayansi marekani walithibitisha

Kim Jong Un alisema ana furaha ndoto yao imekamilika ya kuwa compete nuclear state baada ya Hwasong-15 kufanikiwa " ICBM"

Trump kwa muda mrefu ameomba meza ya mazungumzo na Kim na hatimaye Kim amekubali na moja ya ombi la Trump ni North wasifanye majaribio ya makombora na inaonyesha North watakubali.

Kwasisi wataalamu wa mambo tunasema

Kim=10
Trump=1

Tayari Hwasong-15 ipo well equiped na 100% accuracy na kila mtu anajua uwezo wa Hwasong-15. ndio maana Kim amekubali meza ya mazungumzo baada ya furaha aliyotamka "now we are complete nucleur state" Baada ya Hwasong-15 kufanikiwa 100%

Sasa USA legeza vikwazo kwa Kim majaribio ya nini wakati kwenye ghala ana ICBM na nucleur
Acha uongo wewe, Kim ndo kaomba mazungumzo na siyo Trump, uongo unakusaidia nini?
 
100% Accuracy ? Au nimeona vibaya.?

Sidhani kama kuna missile ipo na 100% Accuracy...

Ufafanuzi kidogo mtoa mada
 
Acha uongo wewe, Kim ndo kaomba mazungumzo na siyo Trump, uongo unakusaidia nini?
Tokea 2017 Trump Alikuwa anasisitiza Kim aje kwenye meza ya mazungumzo mpaka akawa anamtumia China amshawishi dogo wafanye negotiations ila dogo alikuwa anakaidi ila baada ya jaribio la ICBM November 2017 stance yake ikawa laini ,wataalamu wa mambo wanasema baada ya dogo kuwa confidence na Nuclear arsenal kapiga simu jambo ambalo ilikuwa wish ya muda mrefu ya Trump

Simu ya Kim ni kama jibu tu ya maombi kibao ya huko nyuma ya Trump na maofisa wake
 
Korea hawezi kuangamiza silaha zake hata siku moja.

Usa akiambiwa atoe taad zake kila kitu south korea. Je atakubali?

Na china na urusi hawataki kabisaa hizo TAAD.

KWA HIYO NAWASHANGAA WANAOSEMA KIM KASHINDWA.

TAYARI ANA NGUVU YA KUONGEA.
 
Hakuna sehemu Trump ameomba mazungumzo na Kim officially,HAKUNA. Alikua tu anasema kwenye interviews na Twitter kwamba angependa kukutana na Kim,kama tunavyojua Trump Mtu wa kusema tu lolote Ila hakuna narudia tena HAKUNA sehemu Trump au White house iliomba mazungumzo na Kim. Kama kuna Mtu ana source aweke tuone
 
Hata kama ni Kim kaomba napo kaisha mshinda Trump, amekuja kuomba baada ya kuona mambo yake yako sawa kilichobakia sasa ni porojo za mezani Marekani anazo siraha, North Korea anazo siraha hivyo mazungumzo yao sidhani kama yatahusu usitishwaji wa kutengeneza siraha za nuclear, kwa sasa watazungumzia ni mazingira gani hizo siraha zitumike.
 
Hakuna sehemu Trump ameomba mazungumzo na Kim officially,HAKUNA. Alikua tu anasema kwenye interviews na Twitter kwamba angependa kukutana na Kim,kama tunavyojua Trump Mtu wa kusema tu lolote Ila hakuna narudia tena HAKUNA sehemu Trump au White house iliomba mazungumzo na Kim. Kama kuna Mtu ana source aweke tuone
Unaposema " Angependa kukutana na Kim " una maanisha nn...?
Acha uongo bhanaa...
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom