Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,516
- 86,062
Usichanganye matukio, kilichotokea Kibamba hadi Mnyika kutangazwa kilikilua kiondoke na maisha ya Watu. Subiri kama Wananchi watakubali huo upuuzi wa CCM mwkaa huuwalimuua binti yetu Aquiline masikini, lakini hakuna mwananchi hata mmoja aliyesema fyoko!