Kilosa leo: Hii ni sawa na kusema bomu lililolengwa kwa adui limeangukia uraiani kwa mrusha bomu!

Inavyoonyesha ni kuwa huyu kiongozi mkuu for some reason alikuwa misled (or wrongly selfled) kuwa mbunge wa Kilosa ni wa kutoka Chadema.

Kuna uwezekano mkubwa kachanganya madesa - akidhani ni jimbo la Mikumi (la Chadema) ambalo lipo in proximity with lile la Kilosa (la chama chetu CCM).

Bomu likaangukia uraini - sasa kazi ikawa awaokoe vipi wahanga. Ikabidi ipigwe "CCM oyee" ya nguvu na ahadi kutolewa hapo kwa papo.

By the way sikujua kampeni zimeanza. Na pia nilikuwa sijui kama kiongozi wa nchi akiwa kwenye ziara ya kiserekali anaruhusiwa kisheria kushabikia chama chake. Hii ipo Tanzania tu.

Tukutane #BagonzaWhite77.

View attachment 1492554
Usidanganyike wewe mkuu.
Watu wako makini sana, naniatamdanganya mkuu na asijue sorroundings zake na hierachy ya uongozi mahala alipo.
Hilo haliwezekani.
 
knee-on-neck.jpeg
 
Inavyoonyesha ni kuwa huyu kiongozi mkuu for some reason alikuwa misled (or wrongly selfled) kuwa mbunge wa Kilosa ni wa kutoka Chadema.

Kuna uwezekano mkubwa kachanganya madesa - akidhani ni jimbo la Mikumi (la Chadema) ambalo lipo in proximity with lile la Kilosa (la chama chetu CCM).

Bomu likaangukia uraini - sasa kazi ikawa awaokoe vipi wahanga. Ikabidi ipigwe "CCM oyee" ya nguvu na ahadi kutolewa hapo kwa papo.

By the way sikujua kampeni zimeanza. Na pia nilikuwa sijui kama kiongozi wa nchi akiwa kwenye ziara ya kiserekali anaruhusiwa kisheria kushabikia chama chake. Hii ipo Tanzania tu.

Tukutane #BagonzaWhite77.

View attachment 1492554
lakini ukumbuke hata jimbo la mikumi liko wilaya ya kilosa pia, hivyo anzeni kumtafutia jamaa show za kufanya.
 
Inavyoonyesha ni kuwa huyu kiongozi mkuu for some reason alikuwa misled (or wrongly selfled) kuwa mbunge wa Kilosa ni wa kutoka Chadema.

Kuna uwezekano mkubwa kachanganya madesa - akidhani ni jimbo la Mikumi (la Chadema) ambalo lipo in proximity with lile la Kilosa (la chama chetu CCM).

Bomu likaangukia uraini - sasa kazi ikawa awaokoe vipi wahanga. Ikabidi ipigwe "CCM oyee" ya nguvu na ahadi kutolewa hapo kwa papo.

By the way sikujua kampeni zimeanza. Na pia nilikuwa sijui kama kiongozi wa nchi akiwa kwenye ziara ya kiserekali anaruhusiwa kisheria kushabikia chama chake. Hii ipo Tanzania tu.

Tukutane #BagonzaWhite77.

View attachment 1492554
Uko Sahihi
 
Aibu sana! Shida ya kuanza kampeni mapema.....wacha waumbuke tu kwa ubinafsi wao uliopitiliza.

Unashangaa tume ya uchaguzi kimya, msajili wa vvya kimya, polisi kimya etc.....kama hawaoni hizi kampeni vile.
 
Utamkamata Baba mwenye nyumba? Halafu ulale wapi na ukale wapi
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mkuu ukiangalia upinzani watadai Tume Huru kweli. Mie naona kama tupo tupo tu!
Wapinzani viongozi hawaoni Tume Huru ni muhimu naona nao wanaanza kampeni akina nccr cuf wako bega kwa bega na watawala

Hatuna direction Tena Bora kukaa kando
 
Back
Top Bottom