Kilosa leo: Hii ni sawa na kusema bomu lililolengwa kwa adui limeangukia uraiani kwa mrusha bomu!

walimuua binti yetu Aquiline masikini, lakini hakuna mwananchi hata mmoja aliyesema fyoko!
Usichanganye matukio, kilichotokea Kibamba hadi Mnyika kutangazwa kilikilua kiondoke na maisha ya Watu. Subiri kama Wananchi watakubali huo upuuzi wa CCM mwkaa huu
 
Kwan maalim seif baada ya kususa kitu gan kimetokea mkuu....siku zote shetan ana nguvu ingia uringoni ukimsubiri pastor

Mkuu naongelea mambo mawili tofauti, Maalim Seif hakuwa anadai tume huru ya uchaguzi, yeye aliporwa ushindi. Sasa kuingia bila kuwa na tume huru uchaguzi, ni kuhalalisha kuporwa kimachomacho. Kinachotakiwa ni kupiga kelele ya ukweli kuhusu tume huru ya uchaguzi, ili kuutia shombo huo uchaguzi.
 
Hivi unadhani kwamba CCM wote ni wazuri!!! Ni Lugha tu ya kuwasema hata walioko CCM kwamba na wao pia ni wabovu

Acha kupotosha, yeye alijua eneo hilo ni la mbunge wa upinzani ili alete siasa zake za kishamba. Lakini kwa bahati mbaya akawa amebug. Suala la yeye kuwa ana chuki na nongwa ya wazi dhidi ya cdm, hilo wala halina mjadala. Na sababu hasa ni kwakuwa anajua cdm ina mvuto, hivyo anadhani akiwahujumu mvuto utahamia ccm, tena huo mvuto anataka ionekane yeye ndio kauleta. Kumbe anachofanya ni kupaka maiti wanja.
 
bila tume huru, hakuna hata mgombea ubunge atakayeshinda kutoka Chadema wala ACT. huo ndiyo ukweli. watapita mapandikizi tu wa NCCR na CUF.

FACT.

kwamba eti vyama vitalinda kura baada ya polling ni kujidanganya. hakuna DED atakayekuwa tayari kuona kibarua chake kinaota nyasi - never!
tukumbuke kilichotokea uchaguzi wa marudio Kinondoni.

Baba Askofu Bagonza kaona mbali.
tukutane #BagonzaWhite77!
Mkuu ukiangalia upinzani watadai Tume Huru kweli. Mie naona kama tupo tupo tu!
Wapinzani viongozi hawaoni Tume Huru ni muhimu naona nao wanaanza kampeni akina nccr cuf wako bega kwa bega na watawala
 
Mkuu naongelea mambo mawili tofauti, Maalim Seif hakuwa anadai tume huru ya uchaguzi, yeye aliporwa ushindi. Sasa kuingia bila kuwa na tume huru uchaguzi, ni kuhalalisha kuporwa kimachomacho. Kinachotakiwa ni kupiga kelele ya ukweli kuhusu tume huru ya uchaguzi, ili kuutia shombo huo uchaguzi.
Watawatumia mamluki akina mbatia...awam hii wameinvest kwenye uongo
 
Usichanganye matukio, kilichotokea Kibamba hadi Mnyika kutangazwa kilikilua kiondoke na maisha ya Watu. Subiri kama Wananchi watakubali huo upuuzi wa CCM mwkaa huu
Watanzania hawa hawa tunaowajua au wapo wengine? haya bana - yetu macho na masikio!
 
Mkuu ukiangalia upinzani watadai Tume Huru kweli. Mie naona kama tupo tupo tu!
Wapinzani viongozi hawaoni Tume Huru ni muhimu naona nao wanaanza kampeni akina nccr cuf wako bega kwa bega na watawala

Uzuri ni kuwa wapiga kura tunaojitambua wa upinzani, hatuwezi kwenda kupiga kura bila tume huru ya uchaguzi. Hivyo vyama vya upinzani visipoteze muda wao kushiriki bila tume huru ya uchaguzi. Hiyo ni kwenda kutakatisha uchaguzi wa kihuni.
 
38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom