KILOLO; CHADEMA imesahaulika

Dec 5, 2012
47
0
WanaJF naomba nitoe dukuduku langu kwa CHADEMA mkoa na taifa kuitelekeza kabisa wilaya na jimbo la Kilolo katika harakati za kukijenga chama licha ya vijana wachache tumejitoa mhanga kukipigania chama mpaka kuathiri masomo yetu.Ombi letu kwa chama tunaomba tuwezeshwe vifaa kama bendera,kadi na viongozi wa kitaifa kufika na kutupa hamasa wapambanaji na kusikiliza matatizo ya wananchi na siyo kuishia Iringa Mjini.Kilolo haijawahi kupata ruzuku ya chama hatujui tatizo nini hebu wanajamvi tupeane sifa za jimbo au wilaya kupata ruzuku maana hili ni tatizo.

NAOMBA KUWASILISHA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom