swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,630
Bei ya 1300 nakuletea ulipo 0764727853 tufanye businesskwetu 2,000/=
Bei ya 1300 nakuletea ulipo 0764727853 tufanye businesskwetu 2,000/=
Hahahaha muogope mungu wwDodoma kilo 18000 mkuu afu tunaambiwa hakuna njaa
Mkuu huko mkemia Si alisema ardh ya kijani,kalimekagera 2100
Si naskia huko kwenu hamlagi ugali?Zanzibar Ni 2200/=
Mkuu mungu mwenyewe analijua hiliHahahaha muogope mungu ww
Utakua unakaa ushuani ww,huku kwetu maandazi sh mia na sio 500 ,mchana ugali na matembele nyama cjui samaki anasa ,ucku wali maharaga hata 10000 haiishi na Haya ndo maisha yetu Tulio wengiNajitolea mfano una familia ya watu watano ukijumlisha na wewe mtu sita yani baba mama, mdada wa kazi watoto watatu asubuhi vifungua kinywa sii chini ya elfu tatu hapo nimepigia hesabu ya maandazi 2kila moja 500, mchana kuanzia mkaa , unga kilo 2000, mboga hapo sijaweka nyama sh 5000, jioni wali maharage, nazi na mboga za majani 6000 jumla 16, 000 pigeni wenyewe hesabu hapo bado hujabadilisha mlo ununue nyama, au samaki halafu unaishi nyumba ya kupanga unadaiwa kwa mwezi hela taka 2000, maji 4000, umeme15, 000 hapo sijajumuisha nauli za watoto shule na kodi ya nyumba halafu hawa wamiliki wa nyumba walivyo na roho mbaya eti garama za nyumba zimepanda kutokana na uendeshaji
Kwanza huwa najiuliza huo uendeahaji wa namna gani nyumba imejengwa tooka enzi za mwalimu choo ndio majanga ukarabati ziro kama sii wizi ni nini wallah atakae baki mjini kidume na hivi mvua ndio hazinyeshi ningejirudia zangu kijijini nikalime ya nini kujipa stress maisha yenyewe mafupi haya
sembe mnapika ugali wa watu zaidi ya watano kwa kilo moja. sasa kama ni alfu mia sita, kwani bia mnanunua bei gani moja, mbona mnanunua bia zaidi ya buku mbili, mnazungusha meza yote na keep chenji ya baa medi juu. vumilieni hadi 2020.
leta huku bukubaBei ya 1300 nakuletea ulipo 0764727853 tufanye business
Wewe seriously mbona nipo uswazi mdau unaweza tembea unaongea mwenyewe bila kujijuaUtakua unakaa ushuani ww,huku kwetu maandazi sh mia na sio 500 ,mchana ugali na matembele nyama cjui samaki anasa ,ucku wali maharaga hata 10000 haiishi na Haya ndo maisha yetu Tulio wengi


seriously?? nahitaji,iyo jumla au?Bei ya 1300 nakuletea ulipo 0764727853 tufanye business
Ndiyo mkuuseriously?? nahitaji,iyo jumla au?
Ndiyo mkuu
Dodoma kilo 18000 mkuu afu tunaambiwa hakuna njaa