Kilo ya Sembe Tshs.1600/=

Nikisoma hili andiko lako, njaa inazidi kuniuma. Hali ni tete sana. Gharama za maisha zimepaa.
 
Tangu nifike hapa mjini miaka 16 iliyopita nikiwa mwanafunzi wa secondary, sijawahi hadi wa leo kununua kilo ya sembe kwa Tshs.1600.

Aisee haya mambo ni tafu sana, maisha hayasongi kiukweli tuacheni mzaha jamani...
MBONA HIYO RAHISI.KWETU USWAZI ELFU 2
 
Da walvyokuwa na mihemuko wqtaongea MNA njaa mntk niwapkie du tunaplkwa WAP ss
 
Hizo bei ni kwa UKAWA tu. Lumba FC hawanunui kwa bei hizo. Wao kwao ni 1,200 kama walivyokua wananua sukari kwa bei elezezi ya serikali yao ya ccm.
 
episodes za madawa zikiiisha,mtakuwa mshasahau bei ya unga wa dona kubanda wala kufeli kwa wanafunzi wa mkoa wa Daresalaam.
wataalaam wa kucheza na media za Tz washapanga yao
 
Bora hiyo mkuu hapa mtwara kilo ni 1800Tsh.
 
Anaehitaji unga safi wa sembe Nauza kwa Bei ya 1300 @1kg nakufikishia popote ulipo kama unahitaji kuanzia kilo200 nitafute 0764727853 or 0687260737 nitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…