Killings in custody

Killings in custody

Nawish iendelee majanga kama hayahaya yashawahi kumkuta ndugu yangu mpaka leo hatujui kisa ilikua ni nini!! (Umaskini+kutokua na connections=tukakosa haki) tulipata kaburi tuu baada yakuutafta mwili muda wawikinzima na mazingira yote yalionesha ni askari ndo walifanya lile tukio na kuzika kwa kigezo mwili hauna taarifa zozote wakati hawakutangaza popote nasisi tulifatilia kilapahala all in all mungu ndo anajua.
 
Pole sana mkuu. Kuna watu wanafaa walogwe wakojoe usaha na damu mpaka wanakufa. Yaani wana roho mbaya mpaka unashangaa huyu ni binadamu wa aina gani hususani hawa askari wetu, kwani wakiwa huko vyuo vya mafunzo wanafunzwa roho mbaya na uuaji au??!
 
Nawish iendelee majanga kama hayahaya yashawahi kumkuta ndugu yangu mpaka leo hatujui kisa ilikua ni nini!! (Umaskini+kutokua na connections=tukakosa haki) tulipata kaburi tuu baada yakuutafta mwili muda wawikinzima na mazingira yote yalionesha ni askari ndo walifanya lile tukio na kuzika kwa kigezo mwili hauna taarifa zozote wakati hawakutangaza popote nasisi tulifatilia kilapahala all in all mungu ndo anajua.
tulipata kaburi tuu baada yakuutafta mwili muda wawikinzima na mazingira yote yalionesha ni askari ndo walifanya lile tukio na kuzika kwa kigezo mwili hauna taarifa zozote wakati hawakutangaza popote nasisi tulifatilia kilapahala all in all mungu ndo anajua.
 
mkuu iliniuma mno bt nashukuru Ilinifunza mambo mengi, haya maisha hayana huruma ni inabidi kuishi kijasusi, tuwasome watu walotuzunguka vzuri, tudhibiti taarifa zetu zisizagae ovyo, nzuri au mbaya ila ruhusu watu/mtu wasikie wanachopaswa kusikia bila udhibitisho kwaiyo ibakie nadhani, inshot kwenye maisha jua kutengeneza department yako binafsi ya siri za mambo yako na ulinzi wako iwe kwa imani zozote, mbinu zozote ilimradi ziwezinafanyakazi. Tokea ilo tukio kilasehem niliyo na maslahi nayo nailinda kwa siri sana pia mimi mwemyewe na familia yangu na tumwombe tu mungu atupe mwisho mwema hii dunia sio.
 
kama kweli story imeishia hapa basi niseme tu Bongo Nyoso! na usiichukulie poa Jf kuna mamwela wana monitor what's is goin on here.

Tushukuru hata hapa tulipopata tumepata pakukubwa!

Tamati yangu najiuliza sijui kama hao majambazi/ askari walikamatwaa? walihukumiwa? au wanaendelea na hali gani mpaka sasa?
 
Simulizi yetu ilikomea hapa...

Note: Kuna askari (simtaji) ndani ya huu mkasa, alikamatiwa akaachiwa. Nitapiga naye Michapo Jumamosi (kaahidi) Pia Mganga ambaye Mussa alienda kwake ana mengi ya kueleza. Mussa alimtajia hadi majina ya wabaya wake. Akamtajia hadi alivyopata pesa zile. Ilikuwa ni lazima aeleze ukweli ili “atibiwe”

Jinsi Mussa alivyopata pesa pia ni story ya kustaajabisha. Sio madini kama ilivyosemwa naye anaupande wake wa pili wa “giza”

Utulivu wenu ndio utanipa ufatiliaji Mzuri

Wakuu wangu nakuja kwenu kinyonge na kwa moyo uliojaa simanzi kwa taarifa hii ya kutoendelea na hii simulizi kwasasa mpaka hapo baadae kwasababu zilizo nje kabisa ya uwezo wangu

Naomba radhi tena na tena na nawaombeni mbo msinifikirie chochote kibaya.. Kwa namna yoyote ile mambo yatakapokaa sawa tutaendelea.. Mnisamehe sana sana sana. Halikuwa lengo langu kutofika tamati
Asanteni sana kwa kunielewa
Nasubiri
 
Back
Top Bottom