Killings in custody

Killings in custody

Mkuu endelea kutandaza mkeka bana!

Sisi wengine starehe zetu ni makala zako na hatuna pengine pa kwenda.

Nimesubiri hadi nimepata "arosto" mie, fanya fanya uiendeleze bas.
Umemaliza mpaka part 6?
 
Ndiyo kaka,na naomba haya yangeandikwa kabisa kitabu iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo
Unajua hiki alichokifanya Mshana Jr kilitakiwa kifanywe na waandishi wetu wa kiuchunguzi kama wafanyavyo wenzetu Kenya. Sasa sisi waandishi wetu mara ya mwisho niliona tuu ile kazi ya kiuchunguzi ya Jeri Muro kama sijakosea akiwafuatilia madereva barabarani na trafiki kwenye issue ya rushwa. Kwa msukosuko alioupata hakurudia tena.
 
Back
Top Bottom