Killed in a Pandemic: Polisi Kenya yaongoza duniani kwa mauaji

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
The independent policing authority has forwarded over 170 cases of police-related cases to the office of the director of public prosecution in Kenya, tonight, on Checkpoint , KTN News crimes and investigations editor Hussein Mohammed puts the faces behind the numbers of police brutality in Kenya in a special report, killed in a pandemic, a story of the lives of victims killed by the Kenyan police in the slums of Kenya

MY TAKE: Hii ni aibu kwa Afrika nzima, Kenya inatufedhehesha na kulidhalilisha bara zina la Africa. Failed state indeed.
 
Kukosa masomo ndiyo inakusumbua.
Kenya is not even in the top 10 countries in the world in police killings. Kenya also has independent oversight of the police that is why over 100 cases are active in court and about 60 cases have already convicted of murder. Tanzania does not have such and the police are unaccountable to citizens and the citizens can not take the police to court.

Police Killings By Country 2020
 
Hizi habari umetoa wapi??pamoja na kuwanyima power police wenu,still ni wanyama sana ukanda huu.

Buda let me tell you something,binaadamu haongozwi na sheria,mtatunga sana sheria,ila kama wakenya kwa ujumla wao wana afya kichaa ya akili ni kazi bure.

Nyinyi ni aggressive kama vile hupenda kujiita,polisi wenu watakuwaje polite!!!!!sisi huku polisi ana power za kutosha kabisa but huwezi sikia upuuzi wa ajabu ajabu sababu,tuna utashi wa kibinadamu.
 
Tumia akili, ila kama una njaa sema upate Chakula, kichwa cha habari kimeanza na statement, " Killed in a Pandemic", onyesha ni nchi gani inaongoza duniani kwa kuua raia wake katika zoezi la kupambana na "Corona" kama sio Kenya?.
 
Wewe ndiyo unatumia makalio kama kichwa. Wapi kwa hiyo report ya KTN imesema kenya inaogonza africa kwa mauaji ya polisi? Kizungu ni shida, sasa pia kiswahili imekuwa shida kuelewa. Mwanaume uvivu ,kukosa masomo na uzee inakupeleka vibaya.
Kwa hiyo report ya KTN, ukumbuke pia wamesema polisi waliohusika wamepelekwa mbele ya mahakama kwa mashtaka ya mauaji. Tanzania kuna hiyo kweli? Tanzania huko kwenye polisi hujisifu wakipiga wanasiasa wa upinzani.
 
Hizi habari umetoa wapi??pamoja na kuwanyima power police wenu,still ni wanyama sana ukanda huu.

Buda let me tell you something,binaadamu haongozwi na sheria,mtatunga sana sheria,ila kama wakenya kwa ujumla wao wana afya kichaa ya akili ni kazi bure.

Nyinyi ni aggressive kama vile hupenda kujiita,polisi wenu watakuwaje polite!!!!!sisi huku polisi ana power za kutosha kabisa but huwezi sikia upuuzi wa ajabu ajabu sababu,tuna utashi wa kibinadamu.
Nikiwaambia muko katika ndoto na ubishani wa kijinga munasema nawatusi. soma hizo link.

Tanzanian TV journalist arrested for airing story on police brutality: rights group
Tanzania: Police Abuse, Torture, Impede HIV Services | Human Rights Watch
Second Tanzanian journalist arrested must be freed unconditionally
 
Hizi habari umetoa wapi??pamoja na kuwanyima power police wenu,still ni wanyama sana ukanda huu.

Buda let me tell you something,binaadamu haongozwi na sheria,mtatunga sana sheria,ila kama wakenya kwa ujumla wao wana afya kichaa ya akili ni kazi bure.

Nyinyi ni aggressive kama vile hupenda kujiita,polisi wenu watakuwaje polite!!!!!sisi huku polisi ana power za kutosha kabisa but huwezi sikia upuuzi wa ajabu ajabu sababu,tuna utashi wa kibinadamu.
Tena wanajisifu watakavyo piga na kuwaumiza wanasiasa wa upinzani.
Tanzania police threaten to beat protesters 'like stray dogs' to halt demos
 
Wewe ndiyo unatumia makalio kama kichwa. Wapi kwa hiyo report ya KTN imesema kenya inaogonza africa kwa mauaji ya polisi? Kizungu ni shida, sasa pia kiswahili imekuwa shida kuelewa. Mwanaume uvivu ,kukosa masomo na uzee inakupeleka vibaya.
Kwa hiyo report ya KTN, ukumbuke pia wamesema polisi waliohusika wamepelekwa mbele ya mahakama kwa mashtaka ya mauaji. Tanzania kuna hiyo kweli? Tanzania huko kwenye polisi hujisifu wakipiga wanasiasa wa upinzani.
Wewe huna akili, hapa kinachozungumzwa ni POLISI wa Kenya kuua watu wengi katika kipindi hiki cha Corona, baada ya kupata hii taarifa nimetafuta na kujaribu kulinganisha kama kuna nchi yoyote hapa duniani ambayo POLISI wameuwa watu wengi zaidi ya Kenya, nimegundua Kenya inaongoza ikifuatiwa na India.

Wewe kwa ujinga wako na akili zako zimechoka kwasababu ya njaa, unataka TV itangaze kwamba Kenya inaongoza duniani lakini uwezo wa kutafuta habari kwa kutumia vyanzo mbalimbali huna.

Hatuzungumzii kupeleka mahakamani wale walioua, "Police brutality" inajitegemea, na nini kinafuata baada ya police brutality ni kipengele kina cha kutegemea. Kuna police brutality with or without impunity". Huna akili.
 
PSX_20200629_111850.jpg
 
HAHAHAHA, Uzee inakusumbua, Wapi kwa hiyo report ya KTN inasema Kenya inaongoza kwa Police Killings Duniani kama ulivyo andika kwenye uzi? Nimekupa link ya world population review iliyo na takwimu ya police killings, kwa sababu hujui kusoma unabishana kama hao wanawake waswahili wa vijiji zenyu. Kichwa ni ya kufikiria si pambo.
Wewe huna akili, hapa kinachozungumzwa ni POLISI wa Kenya kuua watu wengi katika kipindi hiki cha Corona, baada ya kupata hii taarifa nimetafuta na kujaribu kulinganisha kama kuna nchi yoyote hapa duniani ambayo POLISI wameuwa watu wengi zaidi ya Kenya, nimegundua Kenya inaongoza ikifuatiwa na India.

Wewe kwa ujinga wako na akili zako zimechoka kwasababu ya njaa, unataka TV itangaze kwamba Kenya inaongoza duniani lakini uwezo wa kutafuta habari kwa kutumia vyanzo mbalimbali huna.

Hatuzungumzii kupeleka mahakamani wale walioua, "Police brutality" inajitegemea, na nini kinafuata baada ya police brutality ni kipengele kina cha kutegemea. Kuna police brutality with or without impunity". Huna akili.
 
Tena wanajisifu watakavyo piga na kuwaumiza wanasiasa wa upinzani.
Tanzania police threaten to beat protesters 'like stray dogs' to halt demos
Wewe wacha kufukua makaburi, ukianza kuleta habari za nyuma huko ndio utakimbia, kumbuka kwamba Kenya ndio inaongoza Africa katika "Police killings & Brutality".

Huko hatuzungumzii kwa sasa, tunazungumzia kuhusu mauaji ya POLISI katika kusimamia utekelezaji wa mapambano dhidi ya Corona, onyesha ni nchi gani duniani POLISI wake wameua watu wengi zaidi ya Kenya.
HRW slams Kenyan police 'brutality' during virus curfew
 
Wapi report inayosema Kenya inaongoza dunia kwa police killings ulivyo dai? Wewe ndiyo mleta mada kwa hivyo ni wewe kutoa ushahidi. Hiyo ya HRW na KTN hazina hiyo takwimu. Onyesha evidence yako siyo kupiga mdomo kama mwanamke.
 
HAHAHAHA, Uzee inakusumbua, Wapi kwa hiyo report ya KTN inasema Kenya inaongoza kwa Police Killings Duniani kama ulivyo andika kwenye uzi? Nimekupa link ya world population review iliyo na takwimu ya police killings, kwa sababu hujui kusoma unabishana kama hao wanawake waswahili wa vijiji zenyu. Kichwa ni ya kufikiria si pambo.
Pumbavu sana wewe, huna akili kabisa, joblessness and poverty inakusumbua, Mimi siishi katika slums kama wewe. Mimi nimekuambia kuhusu mauaji ya raia katika hiki kipindi cha Corona, wewe unaniletea data za mauaji ya police " in general", stupid kabisa wewe.
 
Wapi report inayosema Kenya inaongoza dunia kwa police killings ulivyo dai? Wewe ndiyo mleta mada kwa hivyo ni wewe kutoa ushahidi. Hiyo ya HRW na KTN hazina hiyo takwimu. Onyesha evidence yako siyo kupiga mdomo kama mwanamke.
Hahahaha, onyesha ni nchi gani imeua watu wengi zaidi ya Kenya?. Hahahaha, hahahaha.
 
Back
Top Bottom