Kilio kwa watumishi wa umma, No Annual Increment..

Kilio kwa watumishi wa umma, No Annual Increment..

[emoji443] [emoji443] [emoji442] ..hatunywi sumu,hayujinyongi!
CCM mbele kwa mbele
Waacha waisome namba CCM mbele kwa mbele[emoji445] [emoji445] [emoji441]
 
Mshahara umetoka kwa watumishi wa umma,Ila kilio kwa watumishi in kutoongezwa mshahara(annual incriment)..
Shikamoo Magu,tulijua utani. kumbe ukiongea umemaanisha..
Acha tuisome namba....!!

Amepunguza makato unataka nn tatizo mnakariri mno aah
 
Sasa asuburi 2020 yeye si anadhani wakurugenzi watamsaidia kumbe kazi yao ni kutangaza tu tutauza ramani ya vita huku kwenye vijiji na kata mpaka wakome maana hiyo kuchakachua itakuwa ngumu MUNGU mkubwa tuonane 2019 serikali za mitaa kwa kuanzia
 
Kiporo cha July kitakumbukwa au ndo itakula kwa watumishi
 
Mshahara umetoka kwa watumishi wa umma,Ila kilio kwa watumishi in kutoongezwa mshahara(annual incriment)..
Shikamoo Magu,tulijua utani. kumbe ukiongea umemaanisha..
Acha tuisome namba....!!

Uninformed arrogant critical thinker...serikali ishasema mpaka baada ya miezi kama miwili wataongeza nyongeza, sijui wewe umetokea wapi? Facebook au instagram! nadhani tv au radio yako unasikilizaga nyimbo tu ila unataka kuzungumzia siasa na kuchambua uchumi wa nchi from no where...POLE SANA.
 
Mbona kuna watu wanjitahidi sana kuongea negativity tu kwa Rais wetu.
Acha tupate Tanzania tuipendayo na yenye misingi ya usawa, kwasababu hakuna aliyeonewa na Rais sema watu waliishi kwa mazoea

Unataka ukuu wa wilaya? Alishateua kama kuna mapungufu yasisemwe. Vaa miwani ya mbao usisome.
 
Mshahara ni haki yangu mwajiriwa,haiwezekani na haitawezekana vitisho vya kuacha kazi vitumiwe.
 
Uninformed arrogant critical thinker...serikali ishasema mpaka baada ya miezi kama miwili wataongeza nyongeza, sijui wewe umetokea wapi? Facebook au instagram! nadhani tv au radio yako unasikilizaga nyimbo tu ila unataka kuzungumzia siasa na kuchambua uchumi wa nchi from no where...POLE SANA.
Hiyo ni ahadi tu kama ahadi zingine.
 
Mnataka nyongeza ya nini? Hamjui kamwe mshahara hauwezi kutosha?!!
 
Mbona kwenye bajeti ilishaelezwa kuwa hakuna nyongeza ya mshahara mpaka idadi ya wafanyakazi ijulikane? Au ninyi mnaishi nchi gani?
Sio kila mada lazima uchangie mkuu nyinyi buku 7 fc inaonekana mshahara umeongezwa
 
Mi Nafikiri angesimamisha mshahara tu ili uhakiki uende barabara. Uhakiki kwenye nyongeza tu haitoshi.
 
Back
Top Bottom