Nipo Msasha majukumu tu yamekua mengi, ukubwa unakuja na mambo yakeHe! We mshiki ulipotelea wapi? Tuanzie hapo kwanza
Raha ya bar iwe na ma barmaid wengi.
Mimi nikifika bar kwanza naagiza mkia mzima. Halafu namkaribisha yule barmaid aliye kwenye chati. Kila bar yuko mmoja aliye matawi. Tukimaliza kula mkia namuambia alete beer na yeye achukue yake. Nikiagiza ya 2 na ya 3 na yeye vilevile. Tukifika ya 5 au 6. Utasikia anaomba namba ya simu. Mimi badala ya kumpa namba namuambia kirahisi tu aniitie matron au meneja nimalizanennae kisha navuta mzigo kwenda gesti ya karibu.
Huko unapewa penzi la kupitiliza kila uchafu utafanyiwa. ITAENDELEA
DuuuuuuhJe nyie mnavyonyanyasa ma barmaid? Mshahara wa 70,000 ukivunja glass unakatwa. Ukiondoka na mteja unakatwa kana kwamba mwenye bar na anachukuliwa na mteja. Kaunta ni mke wa pili wa mwenye bar. Matron chakula ya meneja. Mlaaniwe wenye bar wote. Watoto wa watu wakitoka singida lazima muwaonje nyie kwanza kabla wateja hawajaonja. Mmelaaniwa washenzi nyie
Bhhhasi umemaliza Kiongozi hakuna haja ya Kuendelea , Ngoja nikaifanyie Testing Theory yako Ntarud kuleta mrejesho.....Raha ya bar iwe na ma barmaid wengi.
Mimi nikifika bar kwanza naagiza mkia mzima. Halafu namkaribisha yule barmaid aliye kwenye chati. Kila bar yuko mmoja aliye matawi. Tukimaliza kula mkia namuambia alete beer na yeye achukue yake. Nikiagiza ya 2 na ya 3 na yeye vilevile. Tukifika ya 5 au 6. Utasikia anaomba namba ya simu. Mimi badala ya kumpa namba namuambia kirahisi tu aniitie matron au meneja nimalizanennae kisha navuta mzigo kwenda gesti ya karibu.
Huko unapewa penzi la kupitiliza kila uchafu utafanyiwa. ITAENDELEA
Hamna kamjii nilikachukia kama Bunda, saa tano na nusu polisi wanaaza kuzurura kukamata watu
Je nyie mnavyonyanyasa ma barmaid? Mshahara wa 70,000 ukivunja glass unakatwa. Ukiondoka na mteja unakatwa kana kwamba mwenye bar na anachukuliwa na mteja. Kaunta ni mke wa pili wa mwenye bar. Matron chakula ya meneja. Mlaaniwe wenye bar wote. Watoto wa watu wakitoka singida lazima muwaonje nyie kwanza kabla wateja hawajaonja. Mmelaaniwa washenzi nyie
Visiwa gani mkuu mnakokunywa bila kikomo. Mi navyojua hii sheria visiwani ina zaidi ya miaka kumiMkuu sisi wa visiwani ni kunywa mpaka uishiwe!!
Mkuu nakwambia hiyo sheria iko mijini huku visiwani haituusu!!Visiwa gani mkuu mnakokunywa bila kikomo. Mi navyojua hii sheria visiwani ina zaidi ya miaka kumi
Hakika lazima usome gazeti lililo katikati ya miguu. Gazeti lisilo Isha utamu. Gazeti ambalo hata usome miaka 10 bado utapenda usome tena kwani utakua hujaelewa.Bhhhasi umemaliza Kiongozi hakuna haja ya Kuendelea , Ngoja nikaifanyie Testing Theory yako Ntarud kuleta mrejesho.....