Kilio chetu wafanyabiashara ya baa

Raha ya bar iwe na ma barmaid wengi.
Mimi nikifika bar kwanza naagiza mkia mzima. Halafu namkaribisha yule barmaid aliye kwenye chati. Kila bar yuko mmoja aliye matawi. Tukimaliza kula mkia namuambia alete beer na yeye achukue yake. Nikiagiza ya 2 na ya 3 na yeye vilevile. Tukifika ya 5 au 6. Utasikia anaomba namba ya simu. Mimi badala ya kumpa namba namuambia kirahisi tu aniitie matron au meneja nimalizanennae kisha navuta mzigo kwenda gesti ya karibu.
Huko unapewa penzi la kupitiliza kila uchafu utafanyiwa. ITAENDELEA
 
ha ha ha ha ha Jombaa umetisha sana
 
Je nyie mnavyonyanyasa ma barmaid? Mshahara wa 70,000 ukivunja glass unakatwa. Ukiondoka na mteja unakatwa kana kwamba mwenye bar na anachukuliwa na mteja. Kaunta ni mke wa pili wa mwenye bar. Matron chakula ya meneja. Mlaaniwe wenye bar wote. Watoto wa watu wakitoka singida lazima muwaonje nyie kwanza kabla wateja hawajaonja. Mmelaaniwa washenzi nyie
Duuuuuuh
 
Bhhhasi umemaliza Kiongozi hakuna haja ya Kuendelea , Ngoja nikaifanyie Testing Theory yako Ntarud kuleta mrejesho.....
 
sasa MTU awe Na bucha afu ajiite rasi
 
Visiwa gani mkuu mnakokunywa bila kikomo. Mi navyojua hii sheria visiwani ina zaidi ya miaka kumi
Mkuu nakwambia hiyo sheria iko mijini huku visiwani haituusu!!

Yan unaweza kuingia baa asubuhi unagonga maji kutoka ni mpaka uishiwe haijalishi ni saa ngapi
 
Bhhhasi umemaliza Kiongozi hakuna haja ya Kuendelea , Ngoja nikaifanyie Testing Theory yako Ntarud kuleta mrejesho.....
Hakika lazima usome gazeti lililo katikati ya miguu. Gazeti lisilo Isha utamu. Gazeti ambalo hata usome miaka 10 bado utapenda usome tena kwani utakua hujaelewa.
 
INAENDELEA Juzi niliishia nilipoondoka na yule barmaid matawi. Jana nilifika bar ile ile akaniwahi barmaid mwingine ambae anaonekana umri umeenda. Nikaagiza kuku mzima wa kuchoma na chips 2. Vilivyokuja nikamwambia karibu. Kama kawaida mabarmaid wa Dar ni zaidi ya kunguru. Hawakaribishwi kuku mara 2. Ile kusema tu, keshanawa. Kwa mbali namuona binti matawi anajongea karibu. Mimi sikumkaribisha. Baada ya kula nikaagiza kongoro la kuteremshia na barmaid wangu matawi ya chini akaendea bia. Alipoleta nikamuambia na yeye achukue yake. Pale ndio nilipoona matawi wa juzi alikosa raha kabisa, nahisi alijua kama yeye nilimpa vocha sh 30,000 huenda matawi ya chini nae ataambulia kuku, beer na vocha ya nguvu. ITAENDELEA
 
Mabar Maid wanaleta amsha amsha kwenye bar,ila wasiwe wagomvi na wezi,Hapo tutaenda sawa,Kumaliza kg 2 per day ni kawaida
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom