Kilio chetu kimesikika!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilio chetu kimesikika!!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by chipalila1, Jul 17, 2012.

 1. c

  chipalila1 JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  NDGU wadau particulary job seekers, kwa habari nlizo zpata hv pnde ni kwamba tume ya sensa imekaribisha maombi kwa walio na kaz na wasio na kaz so ka vp tujarbu bahat zetu
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  wameshawekana hao wanatuzuga tu.
   
 3. N

  Neyjerry Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  ni vizuri kujaribu, ingawa pia wamepunguza vigezo kwa walimu kuwa wenye miaka above 50 hawatakiwi... Usikate tamaa wangu, mi mwenyewe naisubiria kwa ham
   
 4. c

  chipalila1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu naomba njuze procedure za ku apply na pia vgezo.
   
 5. didii

  didii Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hata mimi nahitaji kufahamu,ni wapi naweza kupata maelezo kamili?plz mwenye info
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Vp watalipaje?
   
 7. N

  Neyjerry Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  kma vp mtafute mtendaji wako wa kata, mana wao ndo wameanza semina juz jumatatu, then wao ndo watatupa semina makaran, hope atakupa details za kutosha
   
 8. N

  Neyjerry Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  kazi hujapata, unawaza malipo! Wabongo bwana
   
 9. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Aliyekwambia sina kazi ni nani wewe kilaza?? kukosa Field kumeshakuaribu kichwa??.......
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we vipi,asa unataka watu tusijue malipo,na je kama ni jero kwa kutwa niende 2 eti kisa cna kazi?
   
 11. N

  Neyjerry Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  mbona unapanick kilaza mwenzangu!! Cjaongelea iyo kaz yako nyngne (kama kwel unayo), nazungumzia sensa kilaza square... Hahahaha, eti kukosa field kumeniharibu kichawa! May b ur ryt...!
   
 12. N

  Neyjerry Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  fight upate chance kwanza ndugu, coz 2ko weng 2naozitaman izo kaz.. Ukishapata then wakakulipa kdgo c unaacha kwan utashkiwa bunduk uendelee!! Kma utaona maslah kdgo endelea kuuza nyago mtaani
   
 13. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Unaenda kwa serikal za mtaa, pale ndio wanakupa maelezo, hapa mimi mwenyewe nataka niende nipate habar kamili.
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hiyo kazi bila shaka watapewa walimu kutuliza lile vuguvugu lao!!!!
   
 15. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  walimu wameshapewa ILA KWA ANAETAKA AENDE KWENYE SERIKALI YAKE YA MTAA..ATAPATIWA NAFASI.
   
 16. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mbona hamtoi info zlizo nyooka?
   
 17. c

  chipalila1 JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mbona nmeskia arusha wafanya training so hz nafac n kanda ipi? anaejua tafadhari
   
 18. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  iliyo nyooka kivip tena ndugu fauna..2mekwambia kwa maelezo nenda serikal yako ya mtaa, utapata ful maelezo.
   
Loading...