Kilio cha Tundu Lissu kiko hapa

Kilio cha Tundu Lissu kiko hapa

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2007
Posts
2,904
Reaction score
1,363
Nimekuwa nikimsikia Tundu Lissu akilalamikia kanuni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020.

Kweli ana haki ya kulalamika maana inawezekana kabisa mawakala wasipewe fomu za matokeo na hivyo kukosa ushahidi wa matokeo. Nadhani mkurugenzi wa uchaguzi alisemee hili. Soma kanuni husika:
Kanuni za uchaguzi mkuu 2020

63.-(1) The presiding officer at a polling station shall, after counting votes cast, record election results for the polling station in respect of Presidential election and Parliamentary election in Forms Nos. 21A and 21B respectively as prescribed in the First Schedule to these Regulations.

(2) The election results forms for each election shall be signed by the presiding officer or, as the case may be, a polling assistant and polling agents or candidates, and where the results forms are available in sufficient number, the polling agent or candidate may be given a copy of the forms. (kama fumu za matokeo zitakuwepo za kutosha basi wakala anaweza akapewa nakala ya fomu - tafsiri ni yangu mwenyewe)
Kwa kuwa kifungu hiki kilikuwepo pia kwenye sheria ya uchaguzi 2015 sec 79(A) 1.(e)lakini wakala walipewa fomu za matokeo, basi Mkurugenzi nwa uchaguzi alisemee hili ili wakala wapewe fomu hizo maana sioni sababu ya fomu hizo kuwepo chache kwenye vituo
 
Idadi ya wagombea inajulikana ingependeza watoe nakala za matokeo za kutosha ili kila wakara apewe matokeo,hii itasaidia malalamiko ya kubadilishwa kwa matokeo
 
CCM wanajiona wajanjaaaaaaa... Haya bwana, ipo siku tutadai nchi yetu na tutawafurusha kama walowezi.
 
Hii ndio aina ya vijana tulionao kwenye hili Taifa. WAPUMBAVU WENGI.

Selikali haiwathamini bado mnaitetea.

AMA KWELI MASIKINI MASIKINI TU.
Na akirudi tena hawa ndio wale wanaopitiaga mateso makali na kuanza kusumbua humu jamvini kuwa nateseka nakaribia kujiua ndugu zangu nisaidieni,
 
Na akirudi tena hawa ndio wale wanaopitiaga mateso makali na kuanza kusumbua humu jamvini kuwa nateseka nakaribia kujiua ndugu zangu nisaidieni,
Ksbisa ,Ndio maana wengine,wanapuuza shida zao pindi wakizileta humu jamvini
 
Hii ndio aina ya vijana tulionao kwenye hili Taifa. WAPUMBAVU WENGI.

Selikali haiwathamini bado mnaitetea.

AMA KWELI MASIKINI MASIKINI TU.
Mkuu acha kbs, hii nchi ina vijana wa aina yake kabisa, huyo uliemnukuu hapo unakuta ni graduate, asie na ajira na hajala mpk muda anakoment hapo. Siasa wanaichukulia kama mpira wa simba na yanga.!
 
chadema walikubaliana na hizo kanuni hivyo hazina tatizo.
 
Ksbisa ,Ndio maana wengine,wanapuuza shida zao pindi wakizileta humu jamvini
Wajinga mkuu, dawa ni kuwapuuza tu, uzuri ni kwamba mwamba akirudi mateso yatakayoendelea kuja sio kwamba watatuhusu sisi tu bali sote tutakinywea kikombe kwa ujazo ule ule bampa to bampa.
 
CCM wanajiona wajanjaaaaaaa... Haya bwana, ipo siku tutadai nchi yetu na tutawafurusha kama walowezi.
Wakati ni sasa hakuna wakati mwingine mkuu.Magu kura zake hazitatosha,Ila nguvu itakayotumika mwaka huu kupora kura ni balaa.
 
Back
Top Bottom