Kilindi: Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokuwa na silaha, wameteka kijiji

PRODA LTD

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,005
1,333
Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokuwa na silaha za moto na baridi wameteka kijiji kwa muda wa nusu saa kisha kupora fedha na mali zaidi ya shilingi milioni 13 wilayani kilindi na kuwajeruhi kwa risasi baadhi ya watu.

Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.
FB_IMG_1485774126732.jpg


Chanzo: ITV
 
Ukiona hazipo kwa sasa ujue hazikuwa zako. Zilikuwa za ujanja ujanja na hiko ndo kinachopigwa vita kwa sasa.
hilo halina ukweli, na ujue hela tunapokezana.
kama wateja wa biashara yako walikuwa wezi, na wewe ulikuwa mwizi?
au ulikuwa na wajibu wa kujua wanakotoa hela au kazi zao ndiyo uwauzie bidhaa?
 
Napafahamu Kilindi, nafahamu kuwa DC yule Mama alikoswa koswa kupigwa, kulikua na Ugomvi mkubwa sana kwa bahati mbaya haukuwahi kuripotiwa popote. Nusura wauwawe wale mabinti Mtendaji wa kijiji kimojawapo ambapo asakri walimukoa DC wakawaacha hawa wengine.
 
Wameteka kijiji kwa muda nusu saa bila Jeshi la Polisi kufika eneo la tukio hatuko salama sana .
Mbona kwenye kuwathibiti wapinzani huwa wanatumia nguvu nyingi sana?
Yangekuwa maandano hayo wasingefika?
Polisi tulionao wamegeuka PRA.....
Km tu kituo kinafungwa 12 jioni unategemea nini...

dk na nurse wakeshe....wao wenye dhamana ya ulinzi walale .....
 
Wanausalama wapo busy kudili na machinga pamoja na wapinzani.

Ila nahisi ni majambazi wachache sana ndio raia..... Maana siwezi Kulinda maji ili hali nina kiu.
 
Polisi tulionao wamegeuka PRA.....
Km tu kituo kinafungwa 12 jioni unategemea nini...

dk na nurse wakeshe....wao wenye dhamana ya ulinzi walale .....
navyojua mimi sio kila kituo kinakesha, kuna kituo kidogo mtaani kwetu bilikua najiuliza kwanini kinafungwa saa kumi na mbili, nkaambiwa ndio utaratibu wao, kituo kama hiko kinafungwa saa 12 na kufunguliwa saa 12 asubuhi.
 
Back
Top Bottom