kilimo/ufugaji Bora wa Samaki

kilimo/ufugaji Bora wa Samaki

ally hassan kame

New Member
Joined
Oct 13, 2017
Posts
3
Reaction score
1
kilimo cha samaki ni kilimo rahisi saanaa na ni kilimo kinachotumia mahitaji rahisi na ya kawaida
kama vile aridhi na maji.
lakini pia kilimo hichi hukumbwa na changamoto mbalimbali.kama vile:
kutambua sehemu na aima sahihi ya udongo.
uchimbaji wa mabwawa.
kutambua aina ya maji.
upatikanaji wa mbegu bora
chakula na ulishaji.
magonjwa na tiba yake.
aina gani ya samaki hufaa zaidi.
na mengi mengineyo yanayohusu kilimo hichi,
Kutana na Wataalam waliyebobea katikaa kilimo hiki na wanayeweweza kutatua changamoto zilizotzjwa hapo juuu. tupopo morogoro magadu. Wenye shahada ya kilimo cha samaki toka sokoine uviversity of agriculture (SUA)
Wasaliana nasi: 0715179992/0687849469
popote ulipo tunakufikia.
karibuni saana, asnteni sana.
 
Vizuri vipi vifaa vya ufugaji samaki pia vipo kama hapas, waders, seine net, fish pond water test kit, extruder machine, aerators (paddle wheels), Pia teknolojia ya kuzalisha tilapia imefika wapi.

Naomba kama pia unatoa hizo service tuwasiliane PM. Sababu magadu ni Sua.
 
n

nimekuambia nko magadu sijasema sua kua makini na kilichoandikwa, ila mm nimesoma sua ebu tofautisha mambo mkuu
 
Back
Top Bottom