Kilimo na ufugaji

Kilimo na ufugaji

Aneth mahande

New Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Naombeni msaada, kuku wangu wa kienyeji hawataki kulalia mayai ili kupata vifaranga
 
Naombeni msaada, kuku wangu wa kienyeji hawataki kulalia mayai ili kupata vifaranga
Hao kuku unasema wa kienyeji lakini inawezekana kabisa wakawa si pure kienyeji ila ni chotara. Chotara wanataga lakini hawalalii mayai, wameumbwa hivyo genetically

Unahitaji kuweka hayo mayai kwa kuku mwingine anauelalia au kwenye mashine ya kutotoa vifaranga (eggs incubator)
 
Back
Top Bottom