Kilimo na maeneo yenye furusa mbalimbali Tanzania

Gwaje

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
299
85
Habari zenu wadau wa Kilimo. Hongereni kwa kupeana moyo kwenye kuinua uti wa mgongo wa uchumi wa nchi. Nina swali open kwa yeyeto anayeweza kunisaidia.

1. Ni maeneo gani Tanzania yanafaa kwa grain (wheat, barley, na yanayofanana na hayo). Udongo wa maeneo hayo na mvua zake zikoje? na Uwezekeno wa umwagiliaji ukoje? access na soko ni vipi? na ardhi inapatikanaje na kwa gharama gani?

2. Ni maeneo gani ya Tanzania yana uwezekano wa kuzalisha vizuri Mazao ya mahindi, maharage, alizeti na nafaka zingine kama hapo juu? na upatikanaji wa land ukoje?

3. Kuna changamoto gani za uzalishaji wa nafaka kwa wakulima wadogo? na opportunity ya kufungua mashamba makubwa ya kilimo cha chakula nafaka ukoje nchini?

4. Ni aina gani ya equipments zinahitajika kwa uzalishaji wa mazao hayo? Kuna specifications zozote?

5. Kilimo cha viazi kikoje na uwezekano wa mechanized production ukoje nchini?.
Ni hayo tu kwa leo, Mbarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom