Kilimo kwenye container za plastics

Kilimo kwenye container za plastics

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,052
Reaction score
1,526
Wakuu,
Sehemu nilipo ardhi yake ni mchanga sana na mazao jamii ya mbogamboga hayastawi kwa sababu ya jua kali na udongo mchanga sana usiokuwa na rutuba.

Ninataka kufanya kilimo biashara kwenye crates au container za plastics kama zile za kubebea mikate. Nitahamisha udongo na kujaza hizo container then nitaotesha mimea yangu.

Ninaomba kufahamu wapi nitapata crates au container za plastic ninazoweza kuzigeuza kuwa kibebeo kizuri cha udongo na kuweza kuotesha mimea
Screenshot_20250804_182339_com.android.gallery3d.jpg
 
Nenda kiwandani wakutengenezee ukubwa na bora unaotaka.

Pia nunua pumba za munga Nichome moto kisha changanya na mbolea ya nguruwe.

Chukua uozo(mboji) changanya pia
Yaani bumba zilichomwa,mbolea ya nguriwe, mboji, weka mbole ya ng'ombe iliyo oza vizuri kisha changanya na mchanga wa kawaida kiasi kidogo tu.

Panda hizo mbogamboga zako harafu lete mrejesho hapa...

Tafuta mkojo wa sungura ndo iwe dawa ya kuua wadudu na booster.
 
Back
Top Bottom