Kilimo kwanza

Kilimo kwanza

lufunzo

Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
5
Reaction score
1
Kwa wakulima ambao wangependa kubadili maisha yao kwa kutumi mbolea bora wanitafute 0764521313/0789666151/0716902606
 
Mkuu,

Embu dadavua zaidi, hizo mbolea unagawa bure au unauza?

Unapatikana wapi? Kwa sisi wa huku Masasi tukutafute pia?

Wengine kilimo ndo uti wa mgongo wetu, kwa hiyo tungependa uweke maelezo ya kina ili mtu anaposoma aelewe vizuri kabla hajacall.
 
mkuu pia toa maelezo ni mbolea aina gani ulizo nazo, uko wapi, bei zake, zimetengenezwa wapi nk
 
nimeianyia utafiti mbolea ya super grow ya kampuni ya golden neo life diamite international hapa kwangu nimeona itatufaa sana wakulima kwani gharama yake ni nafuu sana na ubora wake ni mkubwa... jaribu kui "google" usome maelezo yake
 
super grow, inatengenezwa na usda, nipo dar es salaam, bei inategemea na mahari ulipo kufuatana na gharama za usafili, ila ni nafuu sana kwa mkulima. kwa maelezo zaidi nipatie e mail yako nikutumia
 
yah hata masasi inakufikia kwa njia ya posta... bei itategemea na kiwango cha ukubwa wa shamba lako. mfana kwa kwa hekari 10-15 unaweza kutumia si zaidi ya 120000
 
Back
Top Bottom