Inawezekana ni lenyewe ila anatutafsidisha tu.. We cheki mwisho wa title yake kuna nini...Jukwaa si lenyewe hili.
Jukwaa si lenyewe hili.
nitafutie watu wa sokoine university pls
Hii Sma......inahitaji mbegu bora zenye uwezo wa IQ......cha kufanya.........kwa sababu unategemea mvua......jaribu kuwaona wataalamu wa palizi......vinginevyo.....mbegu zitadumaa......
kinahitaji "mtaalamu"Kilimo,k,maharage,kiarage,eeeh? Ntakuwa wa mwisho!
sizungumzii kiarage cha huku bwana...humu jf mmepinda khaaa!
kinahitaji "mtaalamu"Kilimo,k,maharage,kiarage,eeeh? Ntakuwa wa mwisho!