A anthopody JF-Expert Member Joined Dec 10, 2024 Posts 262 Reaction score 183 Mar 16, 2025 #1 Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni
Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,407 Reaction score 102,443 Mar 16, 2025 #2 Hata kanda ya ziwa zili kuwa kidogo, hizi siku 3 naambiwa ni 🔥 🔥
K kikokoteo JF-Expert Member Joined May 11, 2024 Posts 634 Reaction score 972 Mar 16, 2025 #3 anthopody said: Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni Click to expand... Kanda ya kaskazn mvua ndyo inakarbia kuanza ikipita mwez wa nne amna ktu ndyo tunaogopa mashamba tayar tumesha andaa tunasubr tu liamshe
anthopody said: Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni Click to expand... Kanda ya kaskazn mvua ndyo inakarbia kuanza ikipita mwez wa nne amna ktu ndyo tunaogopa mashamba tayar tumesha andaa tunasubr tu liamshe
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,936 Reaction score 38,028 Mar 16, 2025 #4 Ifiki mahali tuachane na kilimo ca kutegei mvua