Nyangabo2022
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 103
- 131
- Thread starter
-
- #61
Tafadhali check inbox yako, Nina mazungumzo nawe huko.Watu wanapenda sana kuwakatisha tamaa wakulima wapya. Yaani kivipi utumie milioni tatu kwa heka?
Sawa nimekutumia mawasiliano mkuuTafadhali check inbox yako, Nina mazungumzo nawe huko.
Pole sana mkuu.Wanajamvi na hasa wakulima wa vitunguu naomba msaada wetu.
Kwenye kitalu changu cha vitunguu maji nilianza kuona majani ya vitunguu yakinyauka na kuwa meupe. Uchunguzi kwenye udongo umeonyesha kuwepo kwa wadudu (funza/ viwavi) wanaokula miche kwenye mizizi
View attachment 2979025
ndani ya udongo.
Angalia video hii fupi (miche ina wiki 4 sasa- naogopa nisije kujikuta nahamishia wadudu hawa shambani)
Sasa na wewe chukua plan hiyo upige pesa mara 5 Kwa kuanzia, Acha kulala piga kazi sio kusifia Sifia tuuNimependa Kuna. Rafiki yangu alilima hekaa 4 alitumia 12mil kaja kuvuna 60mil
Mada inanihusu hii. Naweka kambi hapa. Mtoa mada ubarikiwe, nami nina plan ya kulima hiyo kitu this yea
Wapi huko wanako nunua Kwa kilo Tanzania hii..?Mkuu,
Nadhani mwaka huu wakulima wa vitunguu mmetajirika. Huku tulipo 1kg ni Tsh.5000
Songea mashamba meng Kaka hata ukihtaj leo unapata
Nenda Makete, mashamba yako mengi na bei ni ndogo.Kuna mtu aliniambia Singea mashamba yameisha bei imekuwa juu hivyo akanishairi nisogeze huko namtumbo ni kweli?
Haiwezi kufika milioni 3. Tena ukitumia mbolea ya wanyama gharama inakuwa chini sana.Watu wanapenda sana kuwakatisha tamaa wakulima wapya. Yaani kivipi utumie milioni tatu kwa heka?
Ekari 5 unajaribu? Sema umejitosa kulima. Wanajaribu ekari 1.Ahsante kwa michango yenu wataalam, hapa nmeamua nchukue mbegu kutoka kwa wakulima njarbu heka tano nione km nitapata manufaa
1. Mbegu nzuri: red bombay
2. Gharama ya mbegu heka 1: 300k
3. Gharama ya uendeshaji kwa heka: 1.5
million ikiwa shamba la kukodi, kulima,
mbolea, madawa kumwagilia, kuotesha
n.k)
4. Changamoto
●Wadudu,
●ukungu,
●uhaba wa mvua (kwa wanaotegemea mvua)
●Magonjwa
●Sio kila eneo unaweza kusitawisha
vitunguu ukapata mazao mazuri
5. Wastani wa bei kwa gunia la debe 6: 70k mpaka 400k (inategemea na msimu
mfano mwaka huu tumeuza gunia hadi
400k)
Heka 1 inaweza kutoa hadi magunia 100 ikitunzwa vizuri
Tunamshukuru Mungu kwa neema zakeAisee! Mmepiga hela balaa.
Tunamshukuru Mungu kwa neema zake
IgurusiUnalimia wapi mkuu, vipi kuhusu msimu ni mwezi wa ngapi?