Kijijini kwetu yapo, maarufu kama "biringaanya".
Duh wewe! Matunda damu na biringanya ni vitu viwili tofauti. Havijawahi kufanana.Kijijini kwetu yapo, maarufu kama "biringaanya".
PlumsMatunda damu ndiyo haya ila nashangaa uvyoyapeleka kwenye kundi la mboga mboga
Hapana mkuu, wanayaita hivyo kwa kiluga, nadhani itakuwa ni misnomer. Yale mmea wake ni mti mkubwa tuu.Biringanya sio yale yaliyofanana na hoho ila yenyewe yanakuwa meusi?
Natambua hilo kuwa ile ni misnomer kwa kilugaDuh wewe! Matunda damu na biringanya ni vitu viwili tofauti. Havijawahi kufanana.
Sijaelewa...Natambua hilo kuwa ile ni misnomer kwa kiluga
Kulamatumizi haswa ya haya matunda ni nini?