Ebu mwaga huo ubuyuUnahitaji tu kilo moja saffron kupata tsh 10M
Mamaaa hujalala tuni spice kwenye pilau???sidhani kama yupo anayelima....
Mamaaa hujalala tu
Njoo pm tubadilishane mawazousiku mwema mkuu
We unalima hiyo kituGram ni 75$..tsh 300k.kilo tsh 10m
Nan kakwambia Gram moja ya Dhahabu ni 300kGram ni 75$..tsh 300k.kilo tsh 10m
Unaonaje tukilima hii kituNingelima safron hungenipata JF saa hii.labda private jet pale Florida