salaam sana wakuu. niko moshi machame nataka nijue kama kwa hali ya hewa ya huku hayo mazao ya pareto kama yatastawi na soko lake likoje na je kama hilo zao lina athari zozote kwa aridhi.