Jamani habari za sahizi nduguzangu,
Nimepanga kuingia katika kilimo cha mpunga, kuna rafiki yangu mmoja kanambia kwa kilipo cha mpunga kahama kina lipa hasa maeneo ya Mwendakulima. Sasa swali langu ni kuna mtu mwenywe uzoefu au anayejua zaidi kuhusiana na hayo mawazo. Maana hata huyo rafiki yangu pia hana connection yoyote na sio mjuzi wa maswala hayo kwa sana
Pamoja na gharama zote za kufanya kilimo hicho kwa sisi wageni wa biashara hii au kama napata mtu wakunisahidia mtu wa kushirikiana nae nitashukuru awe anapatikana mwendakulima kahama