Kilimo cha matikiti

KAPURO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
235
152
Jamani kuna tetesi kuwa Bakheresa huwa ananunua matikiti kwa kilo.
Naomba mwenye uhakika na tetesi hizo kama ni ukweli anijuze. Pia vigezo anavyotumia ktk kuchukua mzigo vikoje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom