Tanzania ina Aridhi kubwa sana. Ukipanda Gari toka Dar hadi Morogoro ni Aridhi isiyo kuwa mtu.Wakuu amani kwenu, hii ni technology mpya ya kilimo (walau machoni pangu). Naomba kama kuna mdau yeyote mwenye ufahamu wa aina hii ya kilimo anifahamishe. Nahitaji kuwekeza kwenye aina hii ya kilimo. Karibuni.
Tanzania ina Aridhi kubwa sana. Ukipanda Gari toka Dar hadi Morogoro ni Aridhi isiyo kuwa mtu.
Hizi Techinolojia ni kwa nchi zenye uhaba sana wa Aridhi. Nchi kama India wanatumia sana na baadhi ya nchi za ulaya na sana ASIA.
Huwezi lima kwa hydroponic then ushindane na wa Oppen Field.