Kilimo cha hiriki cardamoms

mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
Nyumbani ni bora zaidi kwani ni organic na hatuna haraka ya mafanikio na kutengeneza soko la nje.

Nchi hizo zingine wanazalisha kwa ajili ya kuuza nje kwenye nchi ambazo wanahitaji zaidi kama ulaya na uarabuni.

Waazalisha kwa gm na packaging nzuri na experience yao na kujulikana kwao katika masoko ya nje kwa miaka mingi ndio inawaweka juu

Hivi black cardamom tunazalisha pia, samahani lakiniSent from my SM using Tapatalk
Iriki nyeusi sijawahi kutana nayo mkuu
Labda ktk mizunguko yngu mbeleni ntakuja kugumiana nayo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
Nyumbani ni bora zaidi kwani ni organic na hatuna haraka ya mafanikio na kutengeneza soko la nje.

Nchi hizo zingine wanazalisha kwa ajili ya kuuza nje kwenye nchi ambazo wanahitaji zaidi kama ulaya na uarabuni.

Waazalisha kwa gm na packaging nzuri na experience yao na kujulikana kwao katika masoko ya nje kwa miaka mingi ndio inawaweka juu

Hivi black cardamom tunazalisha pia, samahani lakiniSent from my SM using Tapatalk
Kweli tukiweza fanya packaging nzuri,grading pia tunaweza tukishirikiana kungana vichwa vyote pamoja hakishindikani kitu....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,735
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,735 2,000
Kweli tukiweza fanya packaging nzuri,grading pia tunaweza tukishirikiana kungana vichwa vyote pamoja hakishindikani kitu....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliulizia bei ya vanilla Tanzania bei ilinishtua sana kwani ilikuwa very cheap
Yaani kg Sh 300,000-3.5
Ikabidi nifuatilie ya Madagascar ndio tunanunua zaidi lakini bei yake ni ya juu sana ingawa haina longolongo unaagiza mzigo unatumiwa bila ujanja ujanja

Tatizo letu maneno mengi utekelezaji zero

Nilituma e-mail moja tu Madagascar within two hours nilitumiwa details zote kuanzia grade, bei na mpaka usafiri pamoja na copy za certificates zote na wateja wake wakubwa pia
Kujihakikishia hana kona kona akanialika pia kwenda huko

Sent from my SM using Tapatalk
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
Niliulizia bei ya vanilla Tanzania bei ilinishtua sana kwani ilikuwa very cheap
Yaani kg Sh 300,000-3.5
Ikabidi nifuatilie ya Madagascar ndio tunanunua zaidi lakini bei yake ni ya juu sana ingawa haina longolongo unaagiza mzigo unatumiwa bila ujanja ujanja

Tatizo letu maneno mengi utekelezaji zero

Nilituma e-mail moja tu Madagascar within two hours nilitumiwa details zote kuanzia grade, bei na mpaka usafiri pamoja na copy za certificates zote na wateja wake wakubwa pia
Kujihakikishia hana kona kona akanialika pia kwenda huko

Sent from my SM using Tapatalk
Duh Safi sana....kweli vanilla iko juu
Nlifatiliaga kidogo sana ila sijawahi ku deal nayo...ni sina uzoefu nao sana
Vp masoko yake yako vizuri
Ni kweli watz huwa tunaishia kupiga domo matendo zero

OvaSent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
12,735
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
12,735 2,000
Duh Safi sana....kweli vanilla iko juu
Nlifatiliaga kidogo sana ila sijawahi ku deal nayo...ni sina uzoefu nao sana
Vp masoko yake yako vizuri
Ni kweli watz huwa tunaishia kupiga domo matendo zero

OvaSent using Jamii Forums mobile app
Niko nchi ya nje na ukiangalia vanilla ni zao la ghali sana na usafirishaji ni rahisi sana (kwa ndege)
Wao wanauza kwa US $ 580 kwa kilo moja ambayo sio mbaya tunapata faida
Sasa fikiria tungekuwa na walimaji wa uhakika Tz na kuwa na msimamo haswa wa kufanya kazi nafikiri tungefika pazuri

Kila la kheri mkuu

Sent from my SM using Tapatalk
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
Niko nchi ya nje na ukiangalia vanilla ni zao la ghali sana na usafirishaji ni rahisi sana (kwa ndege)
Wao wanauza kwa US $ 580 kwa kilo moja ambayo sio mbaya tunapata faida
Sasa fikiria tungekuwa na walimaji wa uhakika Tz na kuwa na msimamo haswa wa kufanya kazi nafikiri tungefika pazuri

Kila la kheri mkuu

Sent from my SM using Tapatalk
Umeongea ukweli mtupu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

sinyoritah

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Messages
547
Points
250
S

sinyoritah

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2012
547 250
Natamani kufahamu zaidi kuhusu iriki na masoko yake,soko lake tanzania liko vipi upana wake na sehemu zake natamani pia kujifunza kuhusu upatikanaje wake niwamsimu na kama wamsimu ni msimu upi..Natamani kuelewa zaidi kuhusu hiriki
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
0715591141 nipigie saa nne sahv kdg hatutaelewana hapa mzee .....karibu

Ova
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
39,050
Points
2,000
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
39,050 2,000
Ok nipe bei

Sawa mkuu ila naomba bei kwa kilo kujua maana niko na mwenzangu hapa tunajadiliana na zote zinazolimwa tanzania ama??
Kesho npigieee sahv nko sehemu
Kesho tutaongea vzri

Ova
 
J

Jmkenda97

Member
Joined
Nov 12, 2018
Messages
7
Points
45
J

Jmkenda97

Member
Joined Nov 12, 2018
7 45
NILIFANYAGA RESEARCH YA ILIKI SIYO KULIMA ILA NI WAPI ZINAPATIKANA KWA WINGI KWA BAHATI NILIENDA SEHEMU ZA LUTINDI,TANGA HUKO NLIZUNGUKA VIJIJI KAMA 5 KIETI,TAMOTA,MASANGI,NGURU,BUNGU KOTE HUKO NLIKUTANA N'A ZAO LA ILIKI NA HUKO KG1 WANAUZA 14000 MPAKA 16000 N'A KWA DAR HUKU WANAUZA 25000 MPAKA 26000 KWA KG WAKOMORO WANANUUA JUU KIDOGO YA HAPO......SOON NTARUDI TENA HUKO KWA AJILI YA KUNUNUA NA KUWA SUPPLY WATU WANGU
MOROGORO PIA IPO SEHEMU FULANI FULANI ILA ILIKI YA TANGA WANASEMA NI THE BEST HATA ILIKI YA INDIA HAIFIKII

SOON NABADILISHA TENA GIA ANGANI MTAMUONA MRANGI KWENYE BIASHARA YA MAZAO MAANA JIWE LISHABUMA MH KABANA
ILA KWA WABISHI KAMA SISI HATA UKIBANA HUKU SISI TUNAPIGA KULE

OVA
Inakuadje kaka
 
Forum statistics

Threads 1,304,151
Members 501,282
Posts 31,504,691
Top