Kilimo biashara ndio habari za mjini

HUKU NDIO BURUNDI ALIPOSEMA TUHAMIE MUHESHIMIWA YULE?
 
Mkuu naona ni mwendo wa drop irrigation!
 
Hapana hapo kina maji ya bureeee Tena huhitaji hata pampu kumwagilia.Nenda maeneo Kama MBORI,TAMBI,LUMUMA ukajionee kwanza unaweza walaumu wenyeji ukaona Ni wavivu Mkuu
 
Hayo maeneo yapo mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…