Sijui unaongea nini wewe!
Hawa vijana hawajaandaliwa kwa maisha ya kuzalisha kupitia kilimo. Hawana elimu ya ukulima bora, hawana vifaa vya kufanyia kazi. Hivi kijana aliyezaliwa 2000 tunategemea azalishe kwa kutumia jembe la mkono?
Mazao hayana soko la uhakika. Mzima uliopita mbaazi ziliozea mashambani.
Kama hujatengeneza soko la uhakika la mazao hujamaliza tatizo.
Ningependekeza kila shule ya msingi kuwa na shamba la mfano na afisa kilimo akishirikiana na walimu, apange ratiba ya kufundisha vijana
Nilikua namaanisha kuwezeshwa ni kupewa Elimu pamoja na Mashamba..
Ilikuwa nije na topic nyingine ya jinsi ya kuwawezesha..
nilichotaka ku advise hivi vyuo vya kilimo vikianzishwa vianzishwe kwa kuzingatia mazingira yetu pekee..
mambo ya kukariri hapana...
.na lugha ya kufundishia iwe ya Kiswahili..sababu nimeona kuna barrier kwenye Elimu yetu sababu ya lugha.
nilichotaka pia ni kuona progression mtu anasoma kidogo kidogo hadi anafikia ngazi ya Chuo kikuu kama SUA .....anapata Degree yake...
hao waliozaliwa 2,000 na bahati mbaya wakafeli,wakionyeshwa alternative ya kuprogress katika Maisha yao..Im sure watafanya vyema tuu
ndiyo kinaweza kuwa mkombozi wa ajira. pamoja na uliyosema pia serikali inatakiwa kuhakikisha kilimo kinalipa, mtu akilima asiporwe mazao yake kwa kufunga mipaka au kwa kodi kandamizi. Pia tuwekeze kilimo cha umwagiliaji. Tanzania ni moja ya nchi chache zenye surface freshwater kwa wingi, fikiriaa hili, ziwa tanganyika lina 20
% ya maji hayo duniani,na nusu hiyo au 10% ipo Tanzania, bado maziwa mengine na mito. Tuna maji mengi sana. Mi naamini tukikamilisha haya kilimo kitakuwa ajira ya maana sana.
Wataalamu wa kilimo tunao lakini hawatumiki kwa ipasavyo. Fikiria kama kila kata ingekua na nyumba yenye basic needs na wanafunzi wa SUA kufanya field ya miezi mitatu kila mwaka kwenye kata na kuwatumikia walipa kodi wanaochangia elimu yao ingekuwa jambo lenye kheri.
Uhakika wa soko na bei ndiyo kitu cha kwanza. leo waambie watu Congo gunia la mahindi ni 100,000. lima kauze! utaona watu wanalimia hadi mikono. Wauza karanga au wale wanazungusha mashati wawili hutawaona. hili linaongeza uzalishaji na si kuleta njaa kama tunavyoaminishwa.Kama hujatengeneza soko la uhakika la mazao hujamaliza tatizo.
Ningependekeza kila shule ya msingi kuwa na shamba la mfano na afisa kilimo akishirikiana na walimu, apange ratiba ya kufundisha vijana
Lazima serikali iweke mazingira ya kukifanya kilimo kiwavutie vijana, ikiwa ni pamoja na kutafuta masoko kwa ajili ya mazao watakayozalisha
Jibu ambalo lilikua common ni Kilimo na kazi za vibarua….
Vibarua sawa... ila kwenye kilimo...
Hiyo professional kabisa watu wanaiosmea vyuoni miaka kadhaa...
Cc; mahondaw