luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,258
- Thread starter
- #161
umejibu vyemaKwani zaidi ya mwaka jana, Njombe ilishawahi kuongoza tena? Maana kwa Kilimanjaro, inapokosekana mara moja ndo maswali yanazidi
umejibu vyemaKwani zaidi ya mwaka jana, Njombe ilishawahi kuongoza tena? Maana kwa Kilimanjaro, inapokosekana mara moja ndo maswali yanazidi
wingi wa shule sio hojaUkichunguza hiyo tathimini utaona kwamba kilimanjaro ina ubora mkubwa sana kwani ina shule nyingi ktk hayo matokeo na bado wamwfaulu na kuipita mikoa yenye shule chache na zilizoshindwa pia
wengine wanaona wivu sana na kujaribu kuiga lakin wapiUkizaliwa uchagani jua una degree ya uhasibu na usimamizi wa fedha!!
Elimu, Umoja na Biashara ndio nguzo zetu!!
wengine wanaona wivu sana na kujaribu kuiga lakin wapiUkizaliwa uchagani jua una degree ya uhasibu na usimamizi wa fedha!!
Elimu, Umoja na Biashara ndio nguzo zetu!!
hiyo haijaanza Leo,kule hawaitegemeagi serikali sana mambo mengi wanafanya wenyewe,hususan ujenz wa shule zahanat nk kule hakuna uhaba wa huduma KBSKuna mtu yuko huko,kanidokeza sasa hivi kuwa pia kuna "self spirit" kwa wenyeji ya kupenda kujitolea (michango) kuboresha shule shule zao nje ya juhudi za serikali!
achana na huyu mzikankende akili hakuna amekalia chuki tu hana madharaMti wenye matunda ndio unaopigwa mawe!!
kwa miaka 10 Kilimanjaro haijawah kosekana big 5Ahahahahah....though mwaka jana ilikuwa ya 5, sijui mwaka juzi ilikuwa ya ngapi
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
acha kuongea pumbaKilimanjaro shule nyingi ni binafsi sio za serikali na wanachuja wanafunzi. Sio shule za serikali wanaokataa mtoto kukariri darasa.
acha ushambaMsiozoea kuongoza,..Siku mkiongoza,kelele nyingi.Mbona Njombe wameongoza mara kibao,hawaja leta makelele humu.?Acheni ushamba
acha ushambaMsiozoea kuongoza,..Siku mkiongoza,kelele nyingi.Mbona Njombe wameongoza mara kibao,hawaja leta makelele humu.?Acheni ushamba
tatizo n akili zenu ndgoNilimuuliza swali alieongoza mwaka jana ni mkoa gani na mwaka juz ni mkoa gani ..kwel maskin akipata matako hulia mbwataaaaaa
tatizo n akili zenu ndgoNilimuuliza swali alieongoza mwaka jana ni mkoa gani na mwaka juz ni mkoa gani ..kwel maskin akipata matako hulia mbwataaaaaa
akili za kimaskini utazijua tuHarafu walivyo akili ndogo...Hawajiulizi Njombe imekuwa mkoa lini,...Imeongoza mara ngapi? na KLM imekua mkoa toka lini,..Imeongoza mara ngapi? Mwenye akili timamu, Njombe ndio mkoa unaoongoza kitakwimu kushika namba 1, std 7,fm 2, na 4.Kulingan na muda wake kuwa mkoa.Na ikifikia umri wa KLM kiumri,NJOMBE itatisha kuliko huo utumbo walioleta hapa!
Asante kwa hilo. Hoja yangu bado haijajibiwa vizuri. Nini siri ya mafanikio hayo? Je,nimwamini Mayala kuwa ni IQ kubwa? ,na je,wote wanaosoma shule za Kilimanjaro ni wazaliwa?kwa miaka kumi mfululizo Kilimanjaro haijawah kosekana big 5
n kawaida kuongoza kitaifa wala sio MRA ya kwanza
Luambo? Serious wanachangia hata lami? Shida moja,siku hizi hata TV nyingi zimeacha kurusha habari nyingi za huko kama zamani( mf.vikundi vya kinamama na kazi zao). Nitatembelea huko kujifunza.hiyo haijaanza Leo,kule hawaitegemeagi serikali sana mambo mengi wanafanya wenyewe,hususan ujenz wa shule zahanat nk kule hakuna uhaba wa huduma KBS
ndio maana n mkoa unaoongoza kwa kuwa na shule nyingi
pia kule machame kuna kijiji fulan wamechanga hela wanaweka lami yao binafsi ktk hicho kijiji
Daaq wachaga wanajiendeleaa wenyewe yani wao hawapeleki malalamiko kwa serikali kwamba hakuna Huduma ya kijamii kama mikoa mingine huku shule ni ww tuu tena zenye maadili na elimu boraNdio raha ya kuishi huu mkoa!! hakuna mabashite huku!! ELIMU, BIASHARA na UMOJA ndio nyenzo zetu!
IQ pia inachangia,huwez fananisha iq ya MTU w kule na IQ ya mla kiwavijeshi wa DodomaAsante kwa hilo. Hoja yangu bado haijajibiwa vizuri. Nini siri ya mafanikio hayo? Je,nimwamini Mayala kuwa ni IQ kubwa? ,na je,wote wanaosoma shule za Kilimanjaro ni wazaliwa?
iam serias kuna kijiji kule machame wamekubaliana KBS kuwa wachange wajenge lami ndan ya kijini chaoLuambo? Serious wanachangia hata lami? Shida moja,siku hizi hata TV nyingi zimeacha kurusha habari nyingi za huko kama zamani( mf.vikundi vya kinamama na kazi zao). Nitatembelea huko kujifunza.
Unalalamika nn mkuu ww ni wakagera huku hakuna shule za kijinga kama huko pwani au mikoa mingine huku watu wamewekeza kwenye elimu nikikutajia shule za kikatoliki zinaweza zidi za mkoa mzima uliotoka hapo bado tunaza watu binafsi piliPunguzeni ushamba, watu waliosoma na wenye akili hawawezi kuwa na analysis ya kitapiamlo km hii. wanaosoma shule zilizo ndani ya huo mkoa siyo wote ni wenyeji wa huko, ni watanzania kutoka mikoa mbalimbali, ukweli ni kwamba mmelost mnajaribu kiki za kijinga bila kujua mnazidi kujidhalilisha
shukrani mkuu kwa kumjibu Huyu mzilankende wa kageraUnalalamika nn mkuu ww ni wakagera huku hakuna shule za kijinga kama huko pwani au mikoa mingine huku watu wamewekeza kwenye elimu nikikutajia shule za kikatoliki zinaweza zidi za mkoa mzima uliotoka hapo bado tunaza watu binafsi pili
Why mtu anachoma nauli toka mtwara to Kilimanjaro hii ni sababu ya ubora na malezi mema kwa mwanafunzi via bei ni nzuri