Kilimanjaro yashika namba 1 kitaifa matokeo ya kidato cha nne 2018

MBNA kama hujafurahi kivile?
mwambie ni kwa mujibu wa taarifa ya Necta.Alafu hao walioongoza ni watanzania na siyo wachaga sababu hizo shule wanasoma watanzania wote.Alafu km huupendi huo mkoa labda ukufe tu maana wa kwanza ni wa kwanza tu jambo jema ni ujifunze wa waliofanikiwa na ikibidi ushirikiane nao.Kule kwetu Jimboni Mtera mbunge wetu ni darasa la nne.
 
Acha kujadili matokeo ya mtihani wa 2017 wewe. Watu tunasubiri ya 2019. Kaeni mkao wa kula yapo karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mwaka jana ilivyoongoza njombe na kufuatiwa na Iringa then Kagera na namba 4 kigoma mbona hatukujadili sana kama tunavyoijadili Kilimanjaro mwaka huu, nauliza tu

hiyo ni inferiority complex,
 
Hivi mwaka jana ilivyoongoza njombe na kufuatiwa na Iringa then Kagera na namba 4 kigoma mbona hatukujadili sana kama tunavyoijadili Kilimanjaro mwaka huu, nauliza tu

Hawa jamaa jamaa Wa KLM Ukiona vyeti vyao vizuri sana lakini ukija kwenye fields huwa ni weupe sana kulinganisha na people za kanda ya ziwa jaribu kuchunguza utaona,

Pamoja na kuwa na wasomi wengi lakini sijaona popote waliposaidia taifa letu ukilinganisha na wenzao Wakikuyu wa kenya,

Nilitegemea kwa kuangalia kwao nchi yetu kuwa mbali sana kwa nyanja mbalimbali Ulimwengu huwa nahisi ni afadhali mkoloni angejenga hayo mashule hata mkoa wa Mara labda nchi yetu isingekua hapa ilipo
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom