Kilimanjaro yashika namba 1 kitaifa matokeo ya kidato cha nne 2018

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
10,295
8,258
Wakuu poleni na majukumu

Katika taarifa ya baraza la mitihani NECTA, mkoa wa kwanza kitaifa ni Kilimanjaro ambapo umepanda katika matokeo ya 2016/17 ilikuwa ya 5 kitaifa

Mkoa wa Kagera umeporomoka kutoka nafasi ya 3 mwaka 2016 hadi nafasi ya 9 mwaka 2017
pia Kilimanjaro ndio mkoa wa kwanza Tanzania kuwa na secondary nyingi
 
Sijawahi kamwe kujuta kuzaliwa chini ya Mlima huu wenye historia kubwa duniani, hakunaga vilaza mkoa huu tunapiga shule, tunafanya biashara, tuna pesa, tuna maendeleo alaf yapo majinga yanatulaum wakati kwao huko hata Mbunge wao tu ni darasa la saba
hahahaha
 
Punguzeni ushamba, watu waliosoma na wenye akili hawawezi kuwa na analysis ya kitapiamlo km hii. wanaosoma shule zilizo ndani ya huo mkoa siyo wote ni wenyeji wa huko, ni watanzania kutoka mikoa mbalimbali, ukweli ni kwamba mmelost mnajaribu kiki za kijinga bila kujua mnazidi kujidhalilisha
 
Xtra - Pen
nikweli kabisa wanafunzi wa shule za mkoa wa kilimanjaro hutoka pia maeneo ya mikoa mingine.
Ila nakuhakikishia wanafunzi walio wengi kiasili (origin) wanatoka mkoa huohuo wa kilimanjaro!
Nisawa na mie nipo dom ila mwanangu akifika sec tukijaliwa ataenda kusoma kilimanjaro - kwann, jibu sijui!!!.
 
Shule 309 si ajabu sabb shule zipo nyingi huko tofsuti na mikoa mingine
 
wakuu poleni na majukumu
ktk taarifa ya baraza LA mitihani necta, mkoa wa kwanza kitaifa ni kilimanjaro,ambapo umepanda ktk matokeo ya 2016/17 ilikuwa ya 5 kitaifa
huku mkoa wa kagera ukiporomoka kutoka nafasi ya 3 mwaka 2016 hadi nafasi ya 9 mwaka 2017
Mkuu niangalizie mkoa wa Geita umechukua nafasi ya ngapi maana kule yanatokeaga makilaza!!
 
wakuu poleni na majukumu
ktk taarifa ya baraza LA mitihani necta, mkoa wa kwanza kitaifa ni kilimanjaro,ambapo umepanda ktk matokeo ya 2016/17 ilikuwa ya 5 kitaifa
huku mkoa wa kagera ukiporomoka kutoka nafasi ya 3 mwaka 2016 hadi nafasi ya 9 mwaka 2017


Mjumbe hauwawi. Mleta mada kasema Kilimanjaro ni mkoa unaongoza kwa ufaulu kidato cha nne. Hajasema wanaosoma wote ni wenyeji.


Chuki ya nini????? Mpeleke mtoto kilimanjaro kuna shule bora na ufaulu mzuri acha mashindano ya kiji,nga.


Kweli nimeamini Kilimanjaro imebarikiwa na watu wa Kilimanjaro wamebarikiwa namshukuru Mungu kuzaliwa Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom