Ni jambo ambalo limenishangaza kidogo. Leo niliamua kutembele wavuti ya TRA ili kujua mabadiliko ya kodi mbalimbali.
Kilichonishangaza kwenye TAX COLLECTION STATISTICS , mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo mara 10, kwa Mbeya imewazidi katika kukusanya mapato kwa robo ya kwanza ya mwaka huu.
Pamoja na kuwa jiji, uwepo wa border kubwa ya Tunduma na Kasumulo, tukitegemea mapato yanapatikana kwa wingi. Bado imeshindwa kufua dau kwa Kilimanjaro. Hata Mwanza isipojipanga vizuri ndani ya mwaka 1/2 itapitwa na Kilimanjaro kwenye kukusanya mapato.
Kwa taaria zaidi tembele wavuti ya www.tra.go.tz
Kilimanjaro 2,503.3 2,610.7 4,153.4 9,267.4 2,971.62 3,138.19 5,388.52 11,498.3 3,414.2 3,567.4 5,529.7 12,511.3
Mbeya 1,313.9 1,180.0 2,203.3 4,697.2 1,566.05 1,333.05 2,332.86 5,232.0 1,568.9 1,320.4 3,170.8 6,060.1