Kilimanjaro: Watu 4 wafariki baada ya gari aina ya Toyota Noah kugongana na Lori

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Watu wanne wamedaiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya magari mawili Toyota Noah na Lori la maji kugongana katika maeneo ya Kikafu, Sadala mkoani Kilimanjaro.

Ajali hiyo mbaya inadaiwa kutokea mchana wa leo ambayo imesababishwa na Lori hilo lililokuwa likijaribu kulipita gari la mbele, na kisha kukutana uso kwa uso na gari hilo ndogo iliyokuwa imebeba abiria ikitokea mjini Moshi ikielekea Sanya Juu.
 
Dah. Poleni waathiriwa wote wa mkasa huo wa ajali mbaya.. Na majeruhi wapone haraka
 
Jamani ndo mwisho wa mwaka huu na uzembe wa madereva wanatumalizia ndugu zetu so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…