Kilimanjaro wamuhadaa Rais Magufuli Mei Mosi 2017

Tatizo la UKAWA wanajiona wana hatimiliki ya mikoa ya kaskazini(kilamanjaro na Arusha) na kuwa ccm haikubaliki huko. Lakini ukweli ni kuwa wapo wananchi wengi tu ambao wao siyo ccm na pengine hawaipendi kabisa ccm lkn watu hao wanampenda magufuli ama wanapenda vyote viwili. Hivyo uwepo wa idadi ile ni jambo ambalo halikutarajiwa kabisa na UKAWA(hususani hawa bavicha wa mitandaoni).

Niishie kusema Magufuli as president anakubalika na wengi wakiwemo na watu wa kilimanjaro na wakati umefika sasa wa kuacha propaganda na tuwaze mbele zaidi.
 
Wapuuzi wote mnao-quote uzi mzima. Kila siku mnaambiwa hamuelewi. Mbwa koko kabisa. Hii ina-reflect akili za wengi humu ni below average.
 
Mimi ni mwanachama wa chadema tens kiongozi ngazi ya kata naomba nieleze ukweli,ukweli tupu kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu,sitawaangusha mniombee!

1.Nilikuwepp kwenye maandamano mwanzo mwisho,watu walikuwa wengi sijapata kuona,ukweli uwanja ulifurika.
2.Watu waliohudhuria sherehe hizo wengi ni wafanyakazi kwa hiyo ni lazima wangehudhuria hata kama hawamkubali Magufuli mfano mzuri ni Mimi na makamanda wengine niliowaona uwanjani.
3.Watu waliohudhuria uwanjani so wrote ni wakazi WA Kilimanjaro, niliona wafanyakazi WA makampuni kutoka Arusha,Dar,Mwanza,Geita na Tanga.
4.Mwitikio wa wananchi kupokea salamu za viongozi waliohutubia akiwemo rais ulikuwa mdogo sana na hakukuwa na ushangiliaji wowote isipokuwa kwa Watu walikuwa mbele na walikuwa jukwaa kuu wakiongozwa na wanachama waliovaa safe.Maeneo mengine ya uwanja Watu walikuwa wanapiga stori na hawakuonekana wakifuatilia hotuba.
5.Rais alitoa hotuba nzuri japo mambo aliyoyasema hayatekelezeki kutokana na ufinyu WA bajeti ,kama bajeti iliyopira haikutekelezwa kwa 50% hatuoni hii itatekelezwa vipi!
6.Kufurika kwa watu uwanjani Jana sio kipimo cha kukubalika kwa Magufuli au CCM,kwa halo ilivyo sasa sioni dalili za ccm kukomboa jimbo lolote mkoani Kilimanjaro zaidi naona wakienda kupoteza jumbo la Mwanga 2020
Katika medani za kisiasa uhamasishaji umma (MASS MOBILIZATION) kinachoangaliwa ni great multitudes bila kujali hao waliopo ni wafanyakazi, wanafunzi,wazururaji au vibaka, wakati huo uwingi wa watu ndio mtaji.
 
Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa KLM wewe ndugu. Kamwee,narudia tena kamwee huwezi huwezi kupata mkusanyiko mkubwa kama ule kwa watu kwenda kwa mapenzi yao. Kwenda kwa kuitwa majina na kusaini mtawapata wengi,lakini kwa hiari,hakuna upumbavu wa hivyo kule,labda mikoa mingine.
Hahahaha
Inaonekana una mawazo ya kijinga ya 2015, Rais a me demonstrate beyond reasonable doubt.

Nilikuwa uwanjani na nimeshudia watu wanamkubali.

Huo ukanda wenu haulipi tena chini ya JPM maana wanasema hata huyo aliyewafanya mkasema alipo mpo kama Nyumbu wanasema anagenge lake.

Yaani hii propaganda kama mkiiamini Mwafaaaa
 
Wanajamii amani iwe kwenu!
Katika hali isiyo ya kawaida jana nilimshuhudia Raisi wa Tanzania Dk John Joseph Pombe Magufuli
akiwa na furaha iliyopitiliza, Akiongea kwa bashasha na kujiamini Raisi Magufuli anasema hajawahi kuona umati mkubwa wa watu kama ule uliokuwapo kwenye viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjoro, Mkoa mbao wakati tunapata Uhuru ulikuwa na watu 300,000 tu

Itakumbukwa kuwa mkoa wa K`njaro unawakazi takribani mil 1.6 huku ukiwa na shule za sekondari zaidi 279, Ukifuatiwa na mkoa wa Dar-es salaam wenye watu mil 5 ukiwa na shule za sekondari 230 pekee na kisha mkoa wa Mwanza wenye watu 2.7 huku kukiwa kuna shule za sekondary 218 achilia mbali Mbeya kabla ya kuwanywa iliyokuwa na shule za sekondari 270.

Kama ilivyokawaida ya wanasiasa wote duniani kote hupenda sana kuongea/kuhutubia watu wengi na hicho wao hukiona kama kipimo cha kukubalika kwao."all politician are adicted to mass cogregations" yaani wanasiasa wote wana-uraibu wa kupenda kuhutubia watu wengi eg Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Aikael Mbowe huyu bwana yuko radhi akodi hata Helkopta ili tu akusanye watu wengi wa kumsikiliza bili kujali mass quality wao huangalia Mass quantity tu na ndio faraja yao.

Jambo hili limemtokea jana Raisi wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh Dk John Joseph Pombe Magufuli katika viwanja vya chuo cha biashara Ushirika Moshi (MoCU) baada ya watu kwenda kumpokea kwa lazima kwa mujibu wa sheria na kanuni za uendeshaji wa serikari,Watu hawa hawakuja wote kwa mapenzi yao.

Kama tunashule za sekondari 279 na kila shule ikaleta wastani wa watu 50 tu, Basi jana tulikuwa na wadau toka shule za sekondari 13,950 bila kuhesabu shule za msingi ambazo ni zaidi ya 500,Nyuma ya viwanja vya ushirika kipo chuo cha Biashara cha Ushirika ( MoCU) chenye wanafunzi zaidi 1,000 nao walikuwepo kwa lazima, Ukivuka barabara ni chuo cha cha polisi CCP nao walikuwepo kwa lazima, Juu kidogo chuo cha KCMC nao walikuwepo kwa lazima, Mbele kidogo ni chuo cha Mwenge University collage nao walikuwepo kwa lazima.

Uongozi wa mkoa wa Kilimanjoro nawapongeza kwa kumuhadaa mwanasiasa huyu mwenye adiction ya mass quantity badala ya mass quality,Siamini wala sioni kama ni busara Raisi wa inchi nzima kujisifia mkusanyiko wa watu wether ni wengi au wachache Raisi anapashwa kujikita kwenye Maendeleo tu. Waje 20 waje 20,000 wewe fanya kwa kadiri unavyoweza usichanganwe na wingi au uchache wa watu, Ipo siku utaenda mahali utakosa watu utakasirika Raisi wangu, Huu si muda wa kampeni hata kama uko kwenye kampeni mbona unapambana na usiyemjua?

Hongera sana wanafunzi wote wa mkoa wa K` njaro kwa kumpatia Mh Rais furaha ya Moyo wake ila ninyi wafanyakazi na wananchi wa Moshi Mungu anawaona.
Mwafwaaaaaaaaaaaaaaa.

Msemakweli Mpenzi wa Mungu
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania.
I naelekea umati wa Watu umekuumiza roho kashindwa kuvumilia kabsaa . Bora umepumua Pumba toka ubongoni
 
Mtoa mada naomba nikuulize kitu eti yule meya na mbunge wa Moshi waliozuiliwa kuingia ikulu ndogo wanasoma shule gani vile? Maana na wao niliwaona pale, au ni wanafunzi wa KCMC?
Mwaka huu upinzani sijui mtatoka vipi maana mange kimambi anakaribia kumaliza MB.
Omba mungu akunyime utajiri kuliko kukunyima akili kama wewe ulivyonyimwa akili
 
Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa KLM wewe ndugu. Kamwee,narudia tena kamwee huwezi huwezi kupata mkusanyiko mkubwa kama ule kwa watu kwenda kwa mapenzi yao. Kwenda kwa kuitwa majina na kusaini mtawapata wengi,lakini kwa hiari,hakuna upumbavu wa hivyo kule,labda mikoa mingine.
Hasa Dodoma
 
Melezo marefu lakini ni pumba tupu (crap).

Nina uhakika kama angekuta watu 100 ndani ya uwanja ungekuja hapa na kuanza kusema ''wana Moshi wamesusia/wamemkataa Rais Magufuli.

Achilia mbali ya kwenye uwanja wa chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Hao watu waliokuwa wamejipanga barabarani kumpokea kutokea uwanja wa ndege mpaka Ikulu ndogo uliwaleta wewe?

Unajaribu kupambana na ukweli!

Ukweli ni kwamba, the man is popular and well respected.

The sooner the better, You have to man up, face the reality and get on with it.

Usipumbazwe na siasa za kwenye mitandao. Kumbuka siasa za kwenye mitandao ni tofauti na hali halisi kwenye ground zero. Hii ni sawa na kusikia kelele za mtu mmoja katika kijiji fulani wakati ukipita njiani halafu baadaye unatoa angalizo (conclusion) kuwa wanakijiji wa kijiji fulani ni wapiga kelele.

Wengi wanaomkubali na kumuheshimu Rais Magufuli hawapigi kelele lakini wamekuonyesha kwa vitendo barabarani na uwanjani wakati wa mapokezi yake.
Kweli uchaguzi uliopita Kilimanjaro alipata kura zote, ila tume ya Lubuva ilim'bania.
 
Chuo kinaitwa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) sio MUCU kama ulivyoandika. Pili ule haukuwa mkutano wa kisiasa bali sikukuu ya wafanyakazi kwa hiyo haina uhusiano na maelezo yako. Wafanyakazi wa mkoa wa Kilimanjaro tulikuwepo pale
Mimi sikuwepo.
 
Wewe vyeti vyako ni visafi tena sana,ila tu Tabia,matendo,kauli,kimbelembele na kujitia ma mc wa kila tukio,na kutetea ujinga wa mtakatifu wako,ndo vinavyokutoa mwenye heshima ya utu !.ina maana,unajidhalilisha,na kujivua nguo,kinachofanya uthibitike,hizo nyaraka zako ni bure kabisa,ulipoteza muda tu darasani !
 
Wanajamii amani iwe kwenu!
Katika hali isiyo ya kawaida jana nilimshuhudia Raisi wa Tanzania Dk John Joseph Pombe Magufuli
akiwa na furaha iliyopitiliza, Akiongea kwa bashasha na kujiamini Raisi Magufuli anasema hajawahi kuona umati mkubwa wa watu kama ule uliokuwapo kwenye viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjoro, Mkoa mbao wakati tunapata Uhuru ulikuwa na watu 300,000 tu

Itakumbukwa kuwa mkoa wa K`njaro unawakazi takribani mil 1.6 huku ukiwa na shule za sekondari zaidi 279, Ukifuatiwa na mkoa wa Dar-es salaam wenye watu mil 5 ukiwa na shule za sekondari 230 pekee na kisha mkoa wa Mwanza wenye watu 2.7 huku kukiwa kuna shule za sekondary 218 achilia mbali Mbeya kabla ya kuwanywa iliyokuwa na shule za sekondari 270.

Kama ilivyokawaida ya wanasiasa wote duniani kote hupenda sana kuongea/kuhutubia watu wengi na hicho wao hukiona kama kipimo cha kukubalika kwao."all politician are adicted to mass cogregations" yaani wanasiasa wote wana-uraibu wa kupenda kuhutubia watu wengi eg Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Aikael Mbowe huyu bwana yuko radhi akodi hata Helkopta ili tu akusanye watu wengi wa kumsikiliza bili kujali mass quality wao huangalia Mass quantity tu na ndio faraja yao.

Jambo hili limemtokea jana Raisi wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh Dk John Joseph Pombe Magufuli katika viwanja vya chuo cha biashara Ushirika Moshi (MoCU) baada ya watu kwenda kumpokea kwa lazima kwa mujibu wa sheria na kanuni za uendeshaji wa serikari,Watu hawa hawakuja wote kwa mapenzi yao.

Kama tunashule za sekondari 279 na kila shule ikaleta wastani wa watu 50 tu, Basi jana tulikuwa na wadau toka shule za sekondari 13,950 bila kuhesabu shule za msingi ambazo ni zaidi ya 500,Nyuma ya viwanja vya ushirika kipo chuo cha Biashara cha Ushirika ( MoCU) chenye wanafunzi zaidi 1,000 nao walikuwepo kwa lazima, Ukivuka barabara ni chuo cha cha polisi CCP nao walikuwepo kwa lazima, Juu kidogo chuo cha KCMC nao walikuwepo kwa lazima, Mbele kidogo ni chuo cha Mwenge University collage nao walikuwepo kwa lazima.

Uongozi wa mkoa wa Kilimanjoro nawapongeza kwa kumuhadaa mwanasiasa huyu mwenye adiction ya mass quantity badala ya mass quality,Siamini wala sioni kama ni busara Raisi wa inchi nzima kujisifia mkusanyiko wa watu wether ni wengi au wachache Raisi anapashwa kujikita kwenye Maendeleo tu. Waje 20 waje 20,000 wewe fanya kwa kadiri unavyoweza usichanganwe na wingi au uchache wa watu, Ipo siku utaenda mahali utakosa watu utakasirika Raisi wangu, Huu si muda wa kampeni hata kama uko kwenye kampeni mbona unapambana na usiyemjua?

Hongera sana wanafunzi wote wa mkoa wa K` njaro kwa kumpatia Mh Rais furaha ya Moyo wake ila ninyi wafanyakazi na wananchi wa Moshi Mungu anawaona.
Mwafwaaaaaaaaaaaaaaa.

Msemakweli Mpenzi wa Mungu
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania.
Kumbe wanafunzi wa siku hizi ni watu wazima na wazee aisee,au wengine tuliona sherehe tofauti.
 
Umeamua kutusemea watu wa Kilimanjaro...

Anyway...hao unaosema ni wanafunzi kumbuka ni wapiga kura. So poleni kama imewauma ila ndo hivyo jana JPM kawasomesha namba.
Na alipata kura nyingi Kilimanjaro zaidi ya Dodoma. 'Mnajitekenya na kujichekesha wenyewe'
 
Wanajamii amani iwe kwenu!
Katika hali isiyo ya kawaida jana nilimshuhudia Raisi wa Tanzania Dk John Joseph Pombe Magufuli
akiwa na furaha iliyopitiliza, Akiongea kwa bashasha na kujiamini Raisi Magufuli anasema hajawahi kuona umati mkubwa wa watu kama ule uliokuwapo kwenye viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjoro, Mkoa mbao wakati tunapata Uhuru ulikuwa na watu 300,000 tu

Itakumbukwa kuwa mkoa wa K`njaro unawakazi takribani mil 1.6 huku ukiwa na shule za sekondari zaidi 279, Ukifuatiwa na mkoa wa Dar-es salaam wenye watu mil 5 ukiwa na shule za sekondari 230 pekee na kisha mkoa wa Mwanza wenye watu 2.7 huku kukiwa kuna shule za sekondary 218 achilia mbali Mbeya kabla ya kuwanywa iliyokuwa na shule za sekondari 270.

Kama ilivyokawaida ya wanasiasa wote duniani kote hupenda sana kuongea/kuhutubia watu wengi na hicho wao hukiona kama kipimo cha kukubalika kwao."all politician are adicted to mass cogregations" yaani wanasiasa wote wana-uraibu wa kupenda kuhutubia watu wengi eg Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Aikael Mbowe huyu bwana yuko radhi akodi hata Helkopta ili tu akusanye watu wengi wa kumsikiliza bili kujali mass quality wao huangalia Mass quantity tu na ndio faraja yao.

Jambo hili limemtokea jana Raisi wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh Dk John Joseph Pombe Magufuli katika viwanja vya chuo cha biashara Ushirika Moshi (MoCU) baada ya watu kwenda kumpokea kwa lazima kwa mujibu wa sheria na kanuni za uendeshaji wa serikari,Watu hawa hawakuja wote kwa mapenzi yao.

Kama tunashule za sekondari 279 na kila shule ikaleta wastani wa watu 50 tu, Basi jana tulikuwa na wadau toka shule za sekondari 13,950 bila kuhesabu shule za msingi ambazo ni zaidi ya 500,Nyuma ya viwanja vya ushirika kipo chuo cha Biashara cha Ushirika ( MoCU) chenye wanafunzi zaidi 1,000 nao walikuwepo kwa lazima, Ukivuka barabara ni chuo cha cha polisi CCP nao walikuwepo kwa lazima, Juu kidogo chuo cha KCMC nao walikuwepo kwa lazima, Mbele kidogo ni chuo cha Mwenge University collage nao walikuwepo kwa lazima.

Uongozi wa mkoa wa Kilimanjoro nawapongeza kwa kumuhadaa mwanasiasa huyu mwenye adiction ya mass quantity badala ya mass quality,Siamini wala sioni kama ni busara Raisi wa inchi nzima kujisifia mkusanyiko wa watu wether ni wengi au wachache Raisi anapashwa kujikita kwenye Maendeleo tu. Waje 20 waje 20,000 wewe fanya kwa kadiri unavyoweza usichanganwe na wingi au uchache wa watu, Ipo siku utaenda mahali utakosa watu utakasirika Raisi wangu, Huu si muda wa kampeni hata kama uko kwenye kampeni mbona unapambana na usiyemjua?

Hongera sana wanafunzi wote wa mkoa wa K` njaro kwa kumpatia Mh Rais furaha ya Moyo wake ila ninyi wafanyakazi na wananchi wa Moshi Mungu anawaona.
Mwafwaaaaaaaaaaaaaaa.

Msemakweli Mpenzi wa Mungu
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania.
Utumbo kama huu haiwezi saidia hata kidogo kupindisha ukweli eti wanafunzi 50 kila shule na wale waliompokea toka uwanja wa ndege kule mtaani aliposimamishwa ni wanafunzi? Jamani badilikeni uongo usio na vitendo vya kuonesha mabdala wa ubaya katu hamtatimiza hayo malengo ya unyumbu wenu mnayoyaota hakika acheni ujinga jamani.
 
Mi nilivyoelewa alifurahi kuona mkoa wenye upinzani mkubwa hata hao wapinzani wameenda uwanjani hata ungekuwa ni wewe ungefurahi jamani
 
Back
Top Bottom