Kilimanjaro wamuhadaa Rais Magufuli Mei Mosi 2017

Wanajamii amani iwe kwenu!
Katika hali isiyo ya kawaida jana nilimshuhudia Raisi wa Tanzania Dk John Joseph Pombe Magufuli
akiwa na furaha iliyopitiliza, Akiongea kwa bashasha na kujiamini Raisi Magufuli anasema hajawahi kuona umati mkubwa wa watu kama ule uliokuwapo kwenye viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjoro, Mkoa mbao wakati tunapata Uhuru ulikuwa na watu 300,000 tu

Itakumbukwa kuwa mkoa wa K`njaro unawakazi takribani mil 1.6 huku ukiwa na shule za sekondari zaidi 279, Ukifuatiwa na mkoa wa Dar-es salaam wenye watu mil 5 ukiwa na shule za sekondari 230 pekee na kisha mkoa wa Mwanza wenye watu 2.7 huku kukiwa kuna shule za sekondary 218 achilia mbali Mbeya kabla ya kuwanywa iliyokuwa na shule za sekondari 270.

Kama ilivyokawaida ya wanasiasa wote duniani hupenda sana kuongea/kuhutubia watu wengi na hicho wao hukiona kama kipimo cha kukubalika kwao."all politician are adicted to mass cogregations" yaani wanasiasa wote wanauraibu wa kupenda kuhutubia watu wengi eg Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Aikael Mbowe huyu bwana yuko radhi akodi hata Helkopta ili tu akusanye watu wengi wa kumsikiliza bili kujali mass quality wao huangalia Mass quantity.

Jambo hili limemtokea jana Raisi wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh Dk John Joseph Pombe Magufuli katika viwanja vya chuo cha biashara Ushirika Moshi baada ya watu kwenda kumpokea kwa lazima kwa mujibu wa sheria na kanuni za uendeshaji wa serikari,Watu hawa hawakuja wote kwa mapenzi yao.

Kama tunashule za sekondari 279 na kila shule ikaleta wastani wa watu 50 tu, Basi jana tulikuwa na wadau toka shule za sekondari 13,950 bila kuhesabu shule za msingi ambazo ni zaidi ya 500,Nyuma ya viwanja vya ushirika kipo chuo cha Biashara cha Ushirika ( MUCU) chenye wanafunzi zaidi 1,000 nao walikuwepo kwa lazima, Ukivuka barabara ni chuo cha cha polisi CCP nao walikuwepo kwa lazima, Juu kidogo chuo cha KCMC nao walikuwepo kwa lazima, Mbele kidogo ni chuo cha Mwenge University collage nao walikuwepo kwa lazima.

Uongozi wa mkoa wa Kilimanjoro nawapongeza kwa kumuhadaa mwanasiasa huyu mwenye adiction ya mass quantity badala ya mass quantity,Siamini wala sioni kama ni busara Raisi wa inchi nzima kujisifia mkusanyiko wa watu wether ni wengi au wachache Raisi anapashwa kujikita kwenye Maendeleo tu. Waje 20 waje 20,000 wewe fanya kwa kadiri unavyoweza usichanganwe na wingi au uchache wa watu, Ipo siku utaenda mahali utakosa watu utakasirika Raisi wangu, Huu si muda wa kampeni hata kama uko kwenye kampeni mbona unapambana na usiyemjua?

Hongera sana wanafunzi wote wa mkoa wa K` njaro kwa kumpatia Mh Rais furaha ya Moyo wake ila ninyi wafanyakazi na wananchi wa Moshi Mungu anawaona.
Mwafwaaaaaaaaaaaaaaa.

Msemakweli Mpenzi wa Mungu
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania.
Ulikuwa umeshakunywa kitochi nini?!

Hapo kwenye nyekundu ndio umeandika nini!
Halafu karibia kila neno la kiingereza ulilotumia umekosea spelling!
 
Melezo marefu lakini ni pumba tupu (crap).

Nina uhakika kama angekuta watu 100 ndani ya uwanja ungekuja hapa na kuanza kusema ''wana Moshi wamesusia/wamemkataa Rais Magufuli.

Achilia mbali ya kwenye uwanja wa chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Hao watu waliokuwa wamejipanga barabarani kumpokea kutokea uwanja wa ndege mpaka Ikulu ndogo uliwaleta wewe?

Unajaribu kupambana na ukweli!

Ukweli ni kwamba, the man is popular and well respected.

The sooner the better, You have to man up, face the reality and get on with it.

Usipumbazwe na siasa za kwenye kitandao. Kumbuka siasa za kwenye mitandao ni tofauti na hali halisi kwenye ground zero. Hii ni sawa na kusikia kelele za mtu mmoja katika kijiji fulani wakati ukipita njiani halafu baadaye unatoa angalizo (conclusion) kuwa wanakijiji wa kijiji fulani ni wapiga kelele.

Wengi wanaomkubali na kumuheshimu Rais Magufuli hawapigi kelele lakini wamekuonyesha kwa vitendo barabarani na uwanjani wakati wa mapokezi yake.
Upo sahihi kamanda
 
Pole wewe hapo. Mass Mobilization is a number one target of any political organ in this world.
 
Melezo marefu lakini ni pumba tupu (crap).

Nina uhakika kama angekuta watu 100 ndani ya uwanja ungekuja hapa na kuanza kusema ''wana Moshi wamesusia/wamemkataa Rais Magufuli.

Achilia mbali ya kwenye uwanja wa chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Hao watu waliokuwa wamejipanga barabarani kumpokea kutokea uwanja wa ndege mpaka Ikulu ndogo uliwaleta wewe?

Unajaribu kupambana na ukweli!

Ukweli ni kwamba, the man is popular and well respected.

The sooner the better, You have to man up, face the reality and get on with it.

Usipumbazwe na siasa za kwenye kitandao. Kumbuka siasa za kwenye mitandao ni tofauti na hali halisi kwenye ground zero. Hii ni sawa na kusikia kelele za mtu mmoja katika kijiji fulani wakati ukipita njiani halafu baadaye unatoa angalizo (conclusion) kuwa wanakijiji wa kijiji fulani ni wapiga kelele.

Wengi wanaomkubali na kumuheshimu Rais Magufuli hawapigi kelele lakini wamekuonyesha kwa vitendo barabarani na uwanjani wakati wa mapokezi yake.
In reality hawa jamaa hawakutarajia hiyo turn-up hapo Kilimanjaro. na kwa kweli imefuta propaganda za muda mrefu kuwa Mh Magufuri hakubaliki huko.
 
Melezo marefu lakini ni pumba tupu (crap).

Nina uhakika kama angekuta watu 100 ndani ya uwanja ungekuja hapa na kuanza kusema ''wana Moshi wamesusia/wamemkataa Rais Magufuli.

Achilia mbali ya kwenye uwanja wa chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Hao watu waliokuwa wamejipanga barabarani kumpokea kutokea uwanja wa ndege mpaka Ikulu ndogo uliwaleta wewe?

Unajaribu kupambana na ukweli!

Ukweli ni kwamba, the man is popular and well respected.

The sooner the better, You have to man up, face the reality and get on with it.

Usipumbazwe na siasa za kwenye kitandao. Kumbuka siasa za kwenye mitandao ni tofauti na hali halisi kwenye ground zero. Hii ni sawa na kusikia kelele za mtu mmoja katika kijiji fulani wakati ukipita njiani halafu baadaye unatoa angalizo (conclusion) kuwa wanakijiji wa kijiji fulani ni wapiga kelele.

Wengi wanaomkubali na kumuheshimu Rais Magufuli hawapigi kelele lakini wamekuonyesha kwa vitendo barabarani na uwanjani wakati wa mapokezi yake.
Kule marekani kuna wale waliompigia kura Donald Trump, wanaitwa silent majority. Hillary Clinton na mashabiki wake walipumbazwa na namna ambavyo CNN ilivyojitahidi kuipigia debe democrats. Kumbe kuna walio wengi ambao hawana muda wa kushinda mitandaoni. Hao ndio waliompiga chini mama Clinton.

CCM inao hao silent majority, wao wapo mikoani na huwezi hata siku moja kuyasoma maoni yao hapa JF, huwa wanaongea kupitia sanduku la kura. JPM anajua namna ya kuongea nao, na kila anapohutubia hao wengi walio na ukimya huwa wanamuelewa vyema.
 
Kuna watu hua mnachuki hadi shetani hua anashangaa, kwahiyo unataka kutuaminisha nini hapa!
Tumsamehe sisi watu wa Kilimanjaro maana hajui alitendalo. Ukilazimishwa unaweza kuzuiwa na asikari kama jana walivyokuwa wanaweka ukingo? Its unfair, hii siyo siasa
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mara fulani lazima ukubali ukweli hata kama mchungu. Hata mimi sikutegemea watu wanaoaminika kama kanda pinzani watajaa vile lakini ndio wamejaa.
Visingizio na takwimu za kukisia hazina nafasi.
 
Mimi ni mwanachama wa chadema tens kiongozi ngazi ya kata naomba nieleze ukweli,ukweli tupu kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu,sitawaangusha mniombee!

1.Nilikuwepp kwenye maandamano mwanzo mwisho,watu walikuwa wengi sijapata kuona,ukweli uwanja ulifurika.
2.Watu waliohudhuria sherehe hizo wengi ni wafanyakazi kwa hiyo ni lazima wangehudhuria hata kama hawamkubali Magufuli mfano mzuri ni Mimi na makamanda wengine niliowaona uwanjani.
3.Watu waliohudhuria uwanjani so wrote ni wakazi WA Kilimanjaro, niliona wafanyakazi WA makampuni kutoka Arusha,Dar,Mwanza,Geita na Tanga.
4.Mwitikio wa wananchi kupokea salamu za viongozi waliohutubia akiwemo rais ulikuwa mdogo sana na hakukuwa na ushangiliaji wowote isipokuwa kwa Watu walikuwa mbele na walikuwa jukwaa kuu wakiongozwa na wanachama waliovaa safe.Maeneo mengine ya uwanja Watu walikuwa wanapiga stori na hawakuonekana wakifuatilia hotuba.
5.Rais alitoa hotuba nzuri japo mambo aliyoyasema hayatekelezeki kutokana na ufinyu WA bajeti ,kama bajeti iliyopira haikutekelezwa kwa 50% hatuoni hii itatekelezwa vipi!
6.Kufurika kwa watu uwanjani Jana sio kipimo cha kukubalika kwa Magufuli au CCM,kwa halo ilivyo sasa sioni dalili za ccm kukomboa jimbo lolote mkoani Kilimanjaro zaidi naona wakienda kupoteza jumbo la Mwanga 2020
 
bado serikali hii inatabia ya kulazimisha wanafunzi kuhudhuria mikutano yao kama enzi za Ben na Jk!?
 
Acheni mihemko sisi Wa Moshi hatuna habari na upuuzi Wa Ccm, Jana walikwenda wanafunzi kwa wingi tena kwa lazima.

Huku ni UKAWA tu CCM peleka huko
Walikwenda wanafunzi kwa lazima tena wakawa wanalazimishwa kushangilia wakiwa uwanjani tena 2020 watalazimishwa kutopiga kura....yani hadi raha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata yule mama aliyekuja na bango alilazimishwa!!
Hahaha tena hata wananchi tabasamu walilokuwa wakitoa walikuwa wanalazimishwa kwa kubinywa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani kwa staili yenu (mleta mada) hii ya kuzusha mambo! Mtapata shida 2020 kutetea majimbo yenu. Hamna mkakati sasa wa kuja na ajenda ya kuwasaidia wananchi. Mmekuwa 'muted', sikujua kama na ninyi mlikuwa na malengo feki juu ya maendeleo ya watanzania.
Hivi CCM ina mpango mkakati kwa maendeleo ya Watanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji48][emoji83][emoji83][emoji379] sidhani labda mpango mkakati wa utekaji nyara kwa wale wanaowakosoa kuhusu ulafi kwa rasilimali za umma
 
Acha uchochezi wewe upo kwenye mioyo ya watu wangapi?
 
bavicha hawapendi kuona haya mambo kabisaaa wana kazi ya kupindisha ukweli
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom