Kilimanjaro wamuhadaa Rais Magufuli Mei Mosi 2017

Wanajamii amani iwe kwenu!
Katika hali isiyo ya kawaida jana nilimshuhudia Raisi wa Tanzania Dk John Joseph Pombe Magufuli
akiwa na furaha iliyopitiliza, Akiongea kwa bashasha na kujiamini Raisi Magufuli anasema hajawahi kuona umati mkubwa wa watu kama ule uliokuwapo kwenye viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjoro, Mkoa mbao wakati tunapata Uhuru ulikuwa na watu 300,000 tu

Itakumbukwa kuwa mkoa wa K`njaro unawakazi takribani mil 1.6 huku ukiwa na shule za sekondari zaidi 279, Ukifuatiwa na mkoa wa Dar-es salaam wenye watu mil 5 ukiwa na shule za sekondari 230 pekee na kisha mkoa wa Mwanza wenye watu 2.7 huku kukiwa kuna shule za sekondary 218 achilia mbali Mbeya kabla ya kuwanywa iliyokuwa na shule za sekondari 270.

Kama ilivyokawaida ya wanasiasa wote duniani hupenda sana kuongea/kuhutubia watu wengi na hicho wao hukiona kama kipimo cha kukubalika kwao."all politician are adicted to mass cogregations" yaani wanasiasa wote wanauraibu wa kupenda kuhutubia watu wengi eg Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Aikael Mbowe huyu bwana yuko radhi akodi hata Helkopta ili tu akusanye watu wengi wa kumsikiliza bili kujali mass quality wao huangalia Mass quantity.

Jambo hili limemtokea jana Raisi wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh Dk John Joseph Pombe Magufuli katika viwanja vya chuo cha biashara Ushirika Moshi baada ya watu kwenda kumpokea kwa lazima kwa mujibu wa sheria na kanuni za uendeshaji wa serikari,Watu hawa hawakuja wote kwa mapenzi yao.

Kama tunashule za sekondari 279 na kila shule ikaleta wastani wa watu 50 tu, Basi jana tulikuwa na wadau toka shule za sekondari 13,950 bila kuhesabu shule za msingi ambazo ni zaidi ya 500,Nyuma ya viwanja vya ushirika kipo chuo cha Biashara cha Ushirika ( MUCU) chenye wanafunzi zaidi 1,000 nao walikuwepo kwa lazima, Ukivuka barabara ni chuo cha cha polisi CCP nao walikuwepo kwa lazima, Juu kidogo chuo cha KCMC nao walikuwepo kwa lazima, Mbele kidogo ni chuo cha Mwenge University collage nao walikuwepo kwa lazima.

Uongozi wa mkoa wa Kilimanjoro nawapongeza kwa kumuhadaa mwanasiasa huyu mwenye adiction ya mass quantity badala ya mass quantity,Siamini wala sioni kama ni busara Raisi wa inchi nzima kujisifia mkusanyiko wa watu wether ni wengi au wachache Raisi anapashwa kujikita kwenye Maendeleo tu. Waje 20 waje 20,000 wewe fanya kwa kadiri unavyoweza usichanganwe na wingi au uchache wa watu, Ipo siku utaenda mahali utakosa watu utakasirika Raisi wangu, Huu si muda wa kampeni hata kama uko kwenye kampeni mbona unapambana na usiyemjua?

Hongera sana wanafunzi wote wa mkoa wa K` njaro kwa kumpatia Mh Rais furaha ya Moyo wake ila ninyi wafanyakazi na wananchi wa Moshi Mungu anawaona.
Mwafwaaaaaaaaaaaaaaa.

Msemakweli Mpenzi wa Mungu
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania.
Naona wewe una TATIZO kubwa sana na huenda HUJAKUBALI kwamba rais Magufuli ni rais wa Watanzania wote. Tafadhali toka kwenye living on DENIAL/Kutokukubali.
Maana itakupa ULCERS za bure tu.

Jambo la maana hapa ni kuwa wale waliohudhuria sherehe za Mei Mosi ni watu wa Kilimanjaro na Moshi in particular.Na ni watanzania wa tabaka mbali mbali.
Sasa wivu wa NINI?
 
Melezo marefu lakini ni pumba tupu (crap).

Nina uhakika kama angekuta watu 100 ndani ya uwanja ungekuja hapa na kuanza kusema ''wana Moshi wamesusia/wamemkataa Rais Magufuli.

Achilia mbali ya kwenye uwanja wa chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Hao watu waliokuwa wamejipanga barabarani kumpokea kutokea uwanja wa ndege mpaka Ikulu ndogo uliwaleta wewe?

Unajaribu kupambana na ukweli!

Ukweli ni kwamba, the man is popular and well respected.

Utawawea hao. Maumivu ya Oktoba 2015 bado hayajawaisha. Bado yanakuja ya 2020 hakika hawa watu sijui watajificha wapi. Lissu sasa hata TLS imemshinda anaamua kuifanyia siasa za mahakamani.
 
Acheni mihemko sisi Wa Moshi hatuna habari na upuuzi Wa Ccm, Jana walikwenda wanafunzi kwa wingi tena kwa lazima.

Huku ni UKAWA tu CCM peleka huko
 
Kila mfanyakazi alipewa chake au na hili hamlijui ,jibuni hoja nyie Maccm acheni matusu amewashika janja yenu.
 
Melezo marefu lakini ni pumba tupu (crap).

Nina uhakika kama angekuta watu 100 ndani ya uwanja ungekuja hapa na kuanza kusema ''wana Moshi wamesusia/wamemkataa Rais Magufuli.

Achilia mbali ya kwenye uwanja wa chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, Hao watu waliokuwa wamejipanga barabarani kumpokea kutokea uwanja wa ndege mpaka Ikulu ndogo uliwaleta wewe?

Unajaribu kupambana na ukweli!

Ukweli ni kwamba, the man is popular and well respected.

Mkuu ktk ukoo wetu hakwenda hata mmoja kumpokea Na tunaishi kwa sadala karibu Na shule ya kibohehe,mamluki n wachumia tumbo wa buku tano ndo mlojazana,pia kila mfanyakazi alilazimishwa kusaini daftari la mahudhurio kaxini Na kuandamana kwenda MUCCOBS
 
Aisee kama hizi ndio akili zinazoitaka ikulu, bora tuendelee kubaki hivi hivi tu.
 
Acheni mihemko sisi Wa Moshi hatuna habari na upuuzi Wa Ccm, Jana walikwenda wanafunzi kwa wingi tena kwa lazima.

Huku ni UKAWA tu CCM peleka huko
Baadhi ya wabunge wa chadema kama jaffari wa hapo moshi mjn nawakubali sana tu na kura yangu 2020 anayo Mungu akijalia, mie home ni hapo soweto.
Hata hivyo chadema kitaifa siikubali hata chembe toka aingie bosi wa mafisadi lowasa na kura yangu hatokaa aipate!!
Anataka kutuaminisha kwamba wale watu walihongwa ili waje kwa wingi

Maneno yote haya yanaonyesha njaa imeingia kichwani.

Kuna hoja gani kama watu wataenda kumuona? Au ndo kusema wapinzani ndo wana hati miliki?
 
Hata yule mama aliyekuja na bango alilazimishwa!!
 
Nilimuona Mheshimiwa Godwin mbunge wa Siha na Mh Msigwa mbunge wa Iringa mjini nao pia walishinikizwa kwenda.
 
Hata chongo ni mfalme kwenye kundi la vipofu.Tusiyashangae haya!
 
Ile statement ya kuwa watu wamefulika kuja kumuona Rais ilikuwa ni ya kuwadhalilisha watu especially Wafanyakazi ambao walikuwa wanasheherekea siku yao!!

Sometimes, ni bora kupumzika nyumbani tu!!
 
Wanajamii amani iwe kwenu!
Katika hali isiyo ya kawaida jana nilimshuhudia Raisi wa Tanzania Dk John Joseph Pombe Magufuli
akiwa na furaha iliyopitiliza, Akiongea kwa bashasha na kujiamini Raisi Magufuli anasema hajawahi kuona umati mkubwa wa watu kama ule uliokuwapo kwenye viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjoro, Mkoa mbao wakati tunapata Uhuru ulikuwa na watu 300,000 tu

Itakumbukwa kuwa mkoa wa K`njaro unawakazi takribani mil 1.6 huku ukiwa na shule za sekondari zaidi 279, Ukifuatiwa na mkoa wa Dar-es salaam wenye watu mil 5 ukiwa na shule za sekondari 230 pekee na kisha mkoa wa Mwanza wenye watu 2.7 huku kukiwa kuna shule za sekondary 218 achilia mbali Mbeya kabla ya kuwanywa iliyokuwa na shule za sekondari 270.

Kama ilivyokawaida ya wanasiasa wote duniani hupenda sana kuongea/kuhutubia watu wengi na hicho wao hukiona kama kipimo cha kukubalika kwao."all politician are adicted to mass cogregations" yaani wanasiasa wote wanauraibu wa kupenda kuhutubia watu wengi eg Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Aikael Mbowe huyu bwana yuko radhi akodi hata Helkopta ili tu akusanye watu wengi wa kumsikiliza bili kujali mass quality wao huangalia Mass quantity.

Jambo hili limemtokea jana Raisi wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh Dk John Joseph Pombe Magufuli katika viwanja vya chuo cha biashara Ushirika Moshi baada ya watu kwenda kumpokea kwa lazima kwa mujibu wa sheria na kanuni za uendeshaji wa serikari,Watu hawa hawakuja wote kwa mapenzi yao.

Kama tunashule za sekondari 279 na kila shule ikaleta wastani wa watu 50 tu, Basi jana tulikuwa na wadau toka shule za sekondari 13,950 bila kuhesabu shule za msingi ambazo ni zaidi ya 500,Nyuma ya viwanja vya ushirika kipo chuo cha Biashara cha Ushirika ( MUCU) chenye wanafunzi zaidi 1,000 nao walikuwepo kwa lazima, Ukivuka barabara ni chuo cha cha polisi CCP nao walikuwepo kwa lazima, Juu kidogo chuo cha KCMC nao walikuwepo kwa lazima, Mbele kidogo ni chuo cha Mwenge University collage nao walikuwepo kwa lazima.

Uongozi wa mkoa wa Kilimanjoro nawapongeza kwa kumuhadaa mwanasiasa huyu mwenye adiction ya mass quantity badala ya mass quantity,Siamini wala sioni kama ni busara Raisi wa inchi nzima kujisifia mkusanyiko wa watu wether ni wengi au wachache Raisi anapashwa kujikita kwenye Maendeleo tu. Waje 20 waje 20,000 wewe fanya kwa kadiri unavyoweza usichanganwe na wingi au uchache wa watu, Ipo siku utaenda mahali utakosa watu utakasirika Raisi wangu, Huu si muda wa kampeni hata kama uko kwenye kampeni mbona unapambana na usiyemjua?

Hongera sana wanafunzi wote wa mkoa wa K` njaro kwa kumpatia Mh Rais furaha ya Moyo wake ila ninyi wafanyakazi na wananchi wa Moshi Mungu anawaona.
Mwafwaaaaaaaaaaaaaaa.

Msemakweli Mpenzi wa Mungu
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania.

Wewe jamaa mbona kama umedanganywa,hicho chuo cha MUCU kipo sehemu gani?
 
Hapo kuna mawili ama walilipwa posho ya mahudhurio au kulikuwa na register ya mahudhulio uwanjani, bila hivyo usinge muona mtu
 
Back
Top Bottom