Tanzania1960
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 204
- 22
mbona unakua mkali? hii jamii forum kila mtu ana haki kutoa mawazo mradi usivunje sheria ,au wewe ndio unamiliki hii jf?,samahani.Kama hujui soka kausha si lazima kuchangia maoni kwenye kila mada. Mwalimu wa timu ya taifa hana muda wa kupika wachezaji, YES, ana haki ya kudai waliopikwa. Au unafikiri timu huandaliwa siku 4?
Kama hujui soka kausha si lazima kuchangia maoni kwenye kila mada. Mwalimu wa timu ya taifa hana muda wa kupika wachezaji, YES, ana haki ya kudai waliopikwa. Au unafikiri timu huandaliwa siku 4?
kilimanjaro stars ni timu ya taifa?
kilimanjaro stars ni timu ya taifa?
usiingize siasa katika soka.poulsen ameanza kulalamikia kili stars wakati yeye amechagua wachezaji ,sasa kila wakati ni samatta na ulimwengu jee hawa wachezaji aliyonao sio wachezaji ?anataka wachezaji waliopikwa tayari na makocha wa tp mazembe ili iwe rahisi kwake.
Zanzibar heroes kocha mzalendo wachezaji wote wa tanzania tuone nani zaidi poulsen au bausi ?
Mimi naanza kusema zanzibar heroes wata​fika mbali.ni maoni tuu.
kilimanjaro stars ni timu ya taifa?
zanzibar heroes oyeeeeeeeeeeeee.:A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer:
poulsen ameanza kulalamikia kili stars wakati yeye amechagua wachezaji ,sasa kila wakati ni samatta na ulimwengu jee hawa wachezaji aliyonao sio wachezaji ?anataka wachezaji waliopikwa tayari na makocha wa tp mazembe ili iwe rahisi kwake.
zanzibar heroes kocha mzalendo wachezaji wote wa tanzania tuone nani zaidi poulsen au bausi ?
mimi naanza kusema zanzibar heroes wata​fika mbali.ni maoni tuu.
jee waona nani zaidi? Tanzania one kaseja kalambishwa mchanga ahh sorre halwa.heroes hongera.wazenji hawawezi kufika popote, kama hauamini utaona. Toka lini muamusho wakashinda kombe?
mheshimiwa upo au bado unatafakari maneno yako?pole sana rafiki.kama hujui soka kausha si lazima kuchangia maoni kwenye kila mada. Mwalimu wa timu ya taifa hana muda wa kupika wachezaji, yes, ana haki ya kudai waliopikwa. Au unafikiri timu huandaliwa siku 4?