Tanzania1960
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 204
- 22
poulsen ameanza kulalamikia kili stars wakati yeye amechagua wachezaji ,sasa kila wakati ni samatta na ulimwengu jee hawa wachezaji aliyonao sio wachezaji ?anataka wachezaji waliopikwa tayari na makocha wa tp mazembe ili iwe rahisi kwake.
zanzibar heroes kocha mzalendo wachezaji wote wa tanzania tuone nani zaidi poulsen au bausi ?
mimi naanza kusema zanzibar heroes wata​fika mbali.ni maoni tuu.
zanzibar heroes kocha mzalendo wachezaji wote wa tanzania tuone nani zaidi poulsen au bausi ?
mimi naanza kusema zanzibar heroes wata​fika mbali.ni maoni tuu.