Kilimanjaro stars na zanzibar heroes.

Tanzania1960

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
204
22
poulsen ameanza kulalamikia kili stars wakati yeye amechagua wachezaji ,sasa kila wakati ni samatta na ulimwengu jee hawa wachezaji aliyonao sio wachezaji ?anataka wachezaji waliopikwa tayari na makocha wa tp mazembe ili iwe rahisi kwake.
zanzibar heroes kocha mzalendo wachezaji wote wa tanzania tuone nani zaidi poulsen au bausi ?
mimi naanza kusema zanzibar heroes wata​fika mbali.ni maoni tuu.
 
Kama hujui soka kausha si lazima kuchangia maoni kwenye kila mada. Mwalimu wa timu ya taifa hana muda wa kupika wachezaji, YES, ana haki ya kudai waliopikwa. Au unafikiri timu huandaliwa siku 4?
 
Kama hujui soka kausha si lazima kuchangia maoni kwenye kila mada. Mwalimu wa timu ya taifa hana muda wa kupika wachezaji, YES, ana haki ya kudai waliopikwa. Au unafikiri timu huandaliwa siku 4?
mbona unakua mkali? hii jamii forum kila mtu ana haki kutoa mawazo mradi usivunje sheria ,au wewe ndio unamiliki hii jf?,samahani.
 
mleta mada hujui soka ndiyo maana una kurupuka kumshutu kocha wa kilimanjaro stars..
 
Wewe #tanzania1960 # ushabiki wa Kipemba na Kiunguja unakusumbua, pale mlikuwa mnacheza mpira au mlikuwa mnachezea tope. Kusingekuwa na lile tope walilokuwa wanaogelea wachezaji Rwanda wangewapiga nyingi. Lakini hili ni somo kwa CECAFA wawe makini kuchagua viwanja vizuri siku zijazo.
Pia CECAFA wanatakiwa kubadili majina ya timu zetu, haiwezekani kukawa na timu inaitwa Tanzania na nyingine inaitwa Zanzibar. Hii moja ya bara ingeitwa Tanganyika ingeleta maana.
 
kilimanjaro stars ni timu ya taifa?

mkuu swali rahisi kweli landa nikuulize timu zilizoko uganda zimewakilisha nini mikoa.. ni timu ya taifa linaloitwa Tanganyika ingawa wengi hawapendi kusikia hivyo watakwambia ni tanzania bara..
 
mkuu ARV kwani wazanzibar wametukataza kuita timu yetu Tanganyika ni upumbavu wetu tu..
 
Last edited by a moderator:
poulsen ameanza kulalamikia kili stars wakati yeye amechagua wachezaji ,sasa kila wakati ni samatta na ulimwengu jee hawa wachezaji aliyonao sio wachezaji ?anataka wachezaji waliopikwa tayari na makocha wa tp mazembe ili iwe rahisi kwake.
Zanzibar heroes kocha mzalendo wachezaji wote wa tanzania tuone nani zaidi poulsen au bausi ?
Mimi naanza kusema zanzibar heroes wata​fika mbali.ni maoni tuu.
usiingize siasa katika soka.
 
kilimanjaro stars ni timu ya taifa?

Kwa swali hili wewe ni Great Sinker!

Kwa taarifa yako, Kilimanjaro Stars ni timu ya taifa la Tanganyika a.k.a Tanzania Bara kama Zanzibar Heroes ilivyo kwa taifa la Zanzibar. Mataifa haya huunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, taifa jingine lenye timu iitwayo Taifa Stars.
 
poulsen ameanza kulalamikia kili stars wakati yeye amechagua wachezaji ,sasa kila wakati ni samatta na ulimwengu jee hawa wachezaji aliyonao sio wachezaji ?anataka wachezaji waliopikwa tayari na makocha wa tp mazembe ili iwe rahisi kwake.
zanzibar heroes kocha mzalendo wachezaji wote wa tanzania tuone nani zaidi poulsen au bausi ?
mimi naanza kusema zanzibar heroes wata​fika mbali.ni maoni tuu.

Alichagua kosi finyu wakati waaandalizi kule Mwanza,matokeo yake anaenda na wachezaji pungufu na hana wa kuogeza.
 
kama hujui soka kausha si lazima kuchangia maoni kwenye kila mada. Mwalimu wa timu ya taifa hana muda wa kupika wachezaji, yes, ana haki ya kudai waliopikwa. Au unafikiri timu huandaliwa siku 4?
mheshimiwa upo au bado unatafakari maneno yako?pole sana rafiki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom