Bei Mbaya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,262
- 846
Asalaam,
Imeripotiwa na magazeti kuwa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mecky Sadick jana akiongea na vikundi ktk mkoa huo alisema amekabidhi list ya watuhumiwa 45 wa unga kwa Mkuu wa polisi wa mkoa huo ambapo kati yao 5 ni mapapa ili RPC awaite kwa mahojiano
Mzee Sadick kwa busara si wakutangaza majina hadharani ili tu apate umaarufu. Pia sidhani kama somo la Mbowe la utaratibu wa kumwita mtu polisi kalijua sasa kwa uzoefu wake ni mtu anaejua mipaka ya mamlaka aliyonayo