AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
mkuu hapo kwenye red umeonyesha una hasira na chuki mbaya sana inayokuondoa kwenye mtanzania halisi. pia umesahau kuwa kuna wasukuma pia wanaooza meno, watu wa singida pia wanaoza meno, maeneo mengi tu watu wanaoza meno kutokana na maji wanayokunywa. mimi nimchaga lakini sijaoza meno kwasababu utotoni sijakulia uchagani. majambazi si wachaga tu, wanywa pombe si wachaga tu, watenda dhambi si wachaga tu.Nyie wanywa mbege moja ya mila zenu ni kuoa dada zenu!
Na mkilewa hata shangazi yako unapitia tu!
Kwa hivyo wewe kutukana kila mara ni km kunywa chai tu!
Narudia tena kukwambia BILA CCM Nyie meno meusi mpaka leo mngekuwa mnaishi kwenye Nyumba za Matope na Mapaa ya majani.
Hamna Shukrani. Ndo maana mkaumbwa na Sura mbovu kama roho zenu.
Sisi wakazi wa mijini tunaomba Mungu Christmas ifike ili Majambazi wote waende vijiji kwao kula Christmas za mbege!
Na tukiwatia mikononi hio mijizi lzm wahare Mtori!
Ardhi ya Kilimanjaro imebarikiwa na Mungu. Pamaja na serikali ya CCM kutukandamiza ila bado tumesimama kidete haki ya nani mapovu yatazidi kuwatoka na Kilimanajaro itabaki kuwa juu, ardhi ya watu wenye akili na macho matatu. Haters will still hate
mkuu hapo kwenye red umeonyesha una hasira na chuki mbaya sana inayokuondoa kwenye mtanzania halisi. pia umesahau kuwa kuna wasukuma pia wanaooza meno, watu wa singida pia wanaoza meno, maeneo mengi tu watu wanaoza meno kutokana na maji wanayokunywa. mimi nimchaga lakini sijaoza meno kwasababu utotoni sijakulia uchagani. majambazi si wachaga tu, wanywa pombe si wachaga tu, watenda dhambi si wachaga tu.
however, siafiki hoja ya mtoam ada kuifanya kilimanjaro ni ya watu wa kilimanjaro tu, ile ni ya watz wote. mada kama hizi ndizo zinazofanya watu wawachukie wachaga nchi nzima, na hili linajidhihirisha na mtu kama wewe uliyepost kitu kama hiki. punguza hasira. life is too short ndugu.
Niwajulishe tu Watanzania wote wasioujua mkoa wa Kilimanjaro kuanzia kina kahtaan & co.
Najua kinachowaumiza muiseme Kilimanjaro kwa ubaya ni dini na siasa..
Niwape tofauti iliyopo kati ya Kilimanjaro na mikoa mingine,
Kijiografia Mkoa wa Kilimanjaro unaeneo dogo sana, ni wapili Ukiacha Dar Es Salaam..
Una wilaya 7.. barabara zote za wilaya zilizounganishwa na Makao makuu Moshi ni za Lami.
Ukiacha Dar mtu hapa ataje mkoa wenye hili.
Mkoa wa Kilimanjaro wakazi wake vijijini wanaongoza kwa kuwa na huduma za maji na umeme..
ManDla jr njoo hapa uisemee Dodoma..
Mkoa wa Kilimanjaro regardless eneo dogo la kijiografia ndiyo mkoa wenye Shule nyingi kuliko mkoa wowote ule hapa Tanganyika na Zanzibar.
Kwa sasa barabara nyingi za tarafa haswa wilaya ya Moshi vijijini zinajengwa kwa kiwango cha lami.
Ukitaka kwenda Kibosho, Marangu, Uru, Masama(Hai) utapita juu ya Lami.
Kwa mkoa wa Dodoma, Ukiacha Manispaa, wilaya inayofuata kwa Kuendelea ni Mpwapwa, ukitaka kwenda Mpwapwa rafu road inakuhusu. Kongwa hali ni ile ile, regardless haya maeneo yametoa viongozi wakubwa serikalini.
Kibakwe kwa kina Simbachawene hali ni mbaya na ngumu..
Kilimanjaro is a Blessed Country!!
Wengi mnajua.. Ila Dini na Siasa za kisasa zinazondeshwa Kilimanjaro zinawafanya Maccm na Ma religionism mapovu yawatoke!!i
sijaelewa hapa, unashindanisha mikoa au makabila, na je, unaisifu kilimanjaro kana kwamba ni mkoa wa kwenu peke yake au mkoa wa watz wote, unajua kwamba hapo moshi kuna watu sio wachaga lakini wana nyumba nyingi kuliko wachaga? na je, kama kilimanjaro kuna shule nyingi si ni vizuri hiyo ni fahari ya watz wote na si ya wachaga peke yao.....kama kuna lami hiyo ni kitu cha kujivunia watz wote na si cha kujivunia wachaga peke yake. ungejua sisi wengine tuna maslahi makubwa sana moshi lakini hata sio wachagga. acha ukabila haukusaidii, ulichokipata hapo ulipo shukuru Mungu usiwasimange wale ambao hawajapata. una umri gani?
nitakuelewesha nilichokuwa nasema....mimi ni mchaga pia wa rombo. baba yangu hajaoa mchaga that means mama yangu sio mchaga. wajomba zangu ambao sio wachaga mmoja hapo moshi ana nyumba tatu, mwingine ana nyumba mbili na lodge tatu hapohapo. kuna wachaga hapohapo moshi hawana hata nyumba ya kuishi wanapanga tu (usibishe), je? mjomba wangu mwenye nyumba tatu na huyo mchaga anayepanga nani anatakiwa kujivunia kilimanjaro?Comment yako ina mapungufu mengi ila hapo kwenye red nimegoma kabisa,ulikuwa una maana gani maana inawezekana ni maana tofauti na niijuavyo mimi "kama ni nyumba ndogo yaani mamaa hapo sawa vinginevyo kafie mbali"???
nitakuelewesha nilichokuwa nasema....mimi ni mchaga pia wa rombo. baba yangu hajaoa mchaga that means mama yangu sio mchaga. wajomba zangu ambao sio wachaga mmoja hapo moshi ana nyumba tatu, mwingine ana nyumba mbili na lodge tatu hapohapo. kuna wachaga hapohapo moshi hawana hata nyumba ya kuishi wanapanga tu (usibishe), je? mjomba wangu mwenye nyumba tatu na huyo mchaga anayepanga nani anatakiwa kujivunia kilimanjaro?
Wacha ujinga wewe, hivi unafahamu unachoandika au unaropoka tu. Kwa nini unaingiza udini na mambo ya maendeleo ambayo hayaangalii udini. Unafahamu kwa nini Moshi na Kilimanjaro wana shule nyingi? Wewe kweli unafahamu historia ya nchi yetu au umekurupushwa? Nakushauri nenda kasome historia yetu kabla ya kuja kuropoka hapa.
hahaha, unauliza wana nyumba ngapi wakati nimekutajia hadi idadi mzee? na huo ni mfano tu wa watu wa karibu yangu ambao sio wachaga pamoja na kwamba mimi ni mchaga...mbona mgumu kuelewa mzee we mchaga gani wewe?...umejenga kwenu kwanza wewe au ndo waleee .......rudi shule kajifunze fasihi, ili ujue kusimulia kitu.
hao watu wenye nyumba nyingi kuliko wachaga, wana nyumba ngapi? na wapo wangapi?
Nyie wanywa mbege moja ya mila zenu ni kuoa dada zenu!
Na mkilewa hata shangazi yako unapitia tu!
Kwa hivyo wewe kutukana kila mara ni km kunywa chai tu!
Narudia tena kukwambia BILA CCM Nyie meno meusi mpaka leo mngekuwa mnaishi kwenye Nyumba za Matope na Mapaa ya majani.
Hamna Shukrani. Ndo maana mkaumbwa na Sura mbovu kama roho zenu.
Sisi wakazi wa mijini tunaomba Mungu Christmasa ifike ili Majambazi wote waende vijiji kwao kula Christmas za mbege!
Na tukiwatia mikononi hio mijizi lzm wahare Mtori!
We msimamo wako naufahamu wala hunisumbui. Ng'ombe uliyemzoea hakupi shida unamkamua maziwa utakavyo. Nani asiyekufaham kwamba wewe ni anti-chagga na anti-kilimanjaro. Ila huo msimamo wako hautakusaidia ni sawasawa na dua la kuku kumlaumu mwewe, kamwe hawez kumdhuru hata kuku awe na hasira kiasi gani sana sana mi naona unajiumiza kujibu hoja kwa manguvu. Wakati we unaandaa hoja zako ambazo ni pumba points, hao unaowaita wagalatia wanazidi kuchuma mema ya nchi na kujijenga. :flame:Hebu msomeni huyu mgalatia hapa.
Anasema wapika mbege na wanywa visusio (damu iliochanganywa na kinyesi kidogo) kina 2013 na vinyesi .com eti WAMEBARIKIWA NA MUNGU.
sasa kwa mgalatia wa kichaga kwake yeye hata MANGI pia ni mungu!
Halafu anawalaumu CCM! Sasa ccm ndio inasababisha majambazi wengi kutoka maeneo hayo?
Hebu fikiri kidogo we meku!
Ebo!
jamaaa hawa ukiwasikiliza sana unaweza fikiria kirimanjaro siyo tz ila ipo marekani.
kwa taarifa ukisema natoka krmnjlo nchi za watu, unahesabiwa maskini kama mtu anaetoka tz. wew mtoa post achen ukabilaaa du.
Nyie wanywa mbege moja ya mila zenu ni kuoa dada zenu!
Na mkilewa hata shangazi yako unapitia tu!
Kwa hivyo wewe kutukana kila mara ni km kunywa chai tu!
Narudia tena kukwambia BILA CCM Nyie meno meusi mpaka leo mngekuwa mnaishi kwenye Nyumba za Matope na Mapaa ya majani
Hamna Shukrani. Ndo maana mkaumbwa na Sura mbovu kama roho zenu.
Sisi wakazi wa mijini tunaomba Mungu Christmas ifike ili Majambazi wote waende vijiji kwao kula Christmas za mbege!
Na tukiwatia mikononi hio mijizi lzm wahare Mtori!
Ila kwa nini ile barabara ya kwenda TPC hainengwi? Nasikia ni sababu za kisiasa maana umuhimu wa ile barabara ni mkubwa hasa baada ya kuwepo kiwanda kingine cha Serengeti beer!
Kingine Machine Tools wanakihujumu jamani!! Lile ni bonge la kiwanda ever, kinanisikitisha sana!! kiwatengu